Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

Source: uhurupublications propaganda machinery.

Pro Kikwete hao, siku zote serikali za kidikteta hutumia mbinu hizi za kuhadaa watu na ulimwengu, Mubarack alikuwa akiwalipa watu pro-Mubarack ili wamsaporti stail hiyo hiyo inatumika na Gaddafi ili aonekane bado anapendwa. Vile vile CCM inatumia mbinu hii ionekane bado inahitajika lakini uhalisia imepoteza mvuto machoni mwa wengi ndiyo maana kinajificha kwenye miamvuli ya Kamati ya Vijana wa Tanzania ambayo hatujawahi kuisikia na hatujui viongozi wake wanachaguliwa au wanateuliwa na nani.
 
Ndugu zangu watanzania na hasa vijana,

Kuna tabia ya kinafiki iliyojengeka ndani ya ccm ya kujifanya kuunga kauli tata za viongozi wao ili kuwapumbaza watanzania. Tabia hii tusiipuuze kwani ina madhara makubwa kwa jamii. Watanzania wengi bado hawajaamka na kutambua mbinu hizi chafu za ccm. Watanzania hao wanaweza kuamini kuwa Chadema ni chama cha vurugu kumbe ndicho chama kilichoamsha vuguvugu la ukombozi nchini.

Naomba sana tena sana viongozi wa chadema waandae maandamano makubwa Jijini Dar es Salaam yafanyike Jumamosi tarehe 19 Machi 2011 ili kujibu upuuzi na unafiki unaotaka kufanywa na watoto wa mafisadi tarehe 16 Machi 2011. Vijana tuhamasishane kwa nguvu zote ili mahudhurio yawe makubwa yawafunike mafisadi.

Sijui mnaonaje vijana wenzangu? Viongozi wa chadema tafadhali mtilie maanani ushauri huu. Nimechukia sana kusikia eti vijana wa ccm wanataka kuandamana kuunga kauli ya ajabu kabisa ya mwenyekiti wao.
 
MAANDAMANO ya kuunga mkono hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa mwishoni mwa mwezi uliopita, yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam Machi 16, mwaka huu, yakiwa na ujumbe ‘amani yetu bado tunaipenda’. Akizungumza na waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana wa Tanzania, wapenda amani, Said Mwaipopo alisema, pia maandamano hayo yatahusisha kupinga kauli viongozi wa CHADEMA zinazochochea kutokea kwa vurugu nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti huyo, inaeleza kuwa, vitendo na kauli za viongozi vya chama hicho vina lengo la kupandikiza chuki kwa Watanzania dhidi ya serikali iliyopo madarakani, ambavyo mavuno yake ni umwagikaji wa damu.
Alisema, maandamano yanayofanywa na CHADEMA huvishwa sura ya kupanda kwa gharama za maisha, wakati huohuo yakiwa na lengo la kuipinga na kutaka kuing’oa serikali.
Maandamano hayo yatafanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja mpaka uwanja wa Bakhresa Manzese, na Mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema anatarajiwa kuyaongoza.
source: www.uhurupublications.com

Watugora bojo ''Kashoga''
 
Mimi nafikiri CCM imefikia hatua ya sasa kutojiamini umaarufu wake, imeingiwa woga. Maandamano haya ylipaswa kuandaliwa na CCM au hasa UVCCM ili chama hicho kiwajibu wale PIPOOZ. Lakini wanahofu ya maandamano ku-flop -- kukosa watu ikawa aibu kubwa!

Hivyo kiujanja ujanja wanawasukumia kina Mrema na vyama vingine, bila shaka viongozi wengine wa upinzani watakuwamo na huenda Mbatia na Kafulila. Kwamba yaki-flop, basi aibu wabebeshwe hao vibaraka ambao wako tayari kulkamba miguu ya CCM!

Siasa za Tanzania na ukombozi wa nchi hii unapita wakati mgumu sana lakini kuna siku wanyonge watashinda!
 
MAANDAMANO ya kuunga mkono hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa mwishoni mwa mwezi uliopita, yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam Machi 16, mwaka huu, yakiwa na ujumbe ‘amani yetu bado tunaipenda’. Akizungumza na waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana wa Tanzania, wapenda amani, Said Mwaipopo alisema, pia maandamano hayo yatahusisha kupinga kauli viongozi wa CHADEMA zinazochochea kutokea kwa vurugu nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti huyo, inaeleza kuwa, vitendo na kauli za viongozi vya chama hicho vina lengo la kupandikiza chuki kwa Watanzania dhidi ya serikali iliyopo madarakani, ambavyo mavuno yake ni umwagikaji wa damu.
Alisema, maandamano yanayofanywa na CHADEMA huvishwa sura ya kupanda kwa gharama za maisha, wakati huohuo yakiwa na lengo la kuipinga na kutaka kuing’oa serikali.
Maandamano hayo yatafanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja mpaka uwanja wa Bakhresa Manzese, na Mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema anatarajiwa kuyaongoza.
source: www.uhurupublications.com
SIO KWELI,VIJANA WA DAR HATUNA HUO MUDA MCHAFU,HAYO YATAKUWA YENU VIJANA VILAZA WA CCM DAR, maana wapo Vijana wa CCM Dar ambao hawako tayari kushiriki UPUMBAVU WENU

Nitawaona wa Maana sana kama wakipata chance hiyo kueleza matatizo wanayoface vijana wa ki Tanzania ka vile ukosefu wa ajira,ufukara wa kupindukia kwa vijana wenzao wa vijijini, Maisha magumu wanayoface Dada zao na hata kufikia hatua ya kuuza miili yao, Elimu duni inayofifisha vipaji vya vijana.
Pia nitawaona wa maana kama mtatumia fursa hiyo Kuuleza Umma kuwa sie vijana wa Ki Tanzania hatuko Tayari kuona Pesa zetu tunazolipa kodi zikitumiwa kuwalipa Baba zenu (Mafisadi) na kama Baba zenu wakirogwa walipe tutawafukuza nchini (na nyie pia) on the spot!!!!
Mwisho kabisa napenda kuwaambia kuwa hii nchi sio ya Baba zenu,ni nchi yetu Wa Tanzania,anagalieni nyie Vijana wa CCM mnaoringia nafasi za wazazi wenu yasije yakawakuta yaliyowakuta Watoto wa SADAM HUSSEIN
 
Kwaushauri wangu wangeenda na kanda ya Ziwa walipopita CDM ili wajipime muitikio. Natumaini hapa Dar maandamano yatakuwa ni ya CCM + Mrema, kwa ajenda hiyo sitatoka nyumbani kwangu. Lakini ya CDM huwa ni ya wananchi wote na si ya kichama, wasubiri siku CDM watakapo pita Dar wataona utofauti huo. Hivyo nashauri, watafute ajenda za kuilenga jamii yote. Mfano nikitoka na hili bango langu nililoandika MAISHA BORA YAKO WAPI?, sidhani kama watanivumilia mwenzao. Wataniambia nimepeleka fujo na matusi kama mlivyokwisha wasikia. Nimalizie kwa kuwauliza swali moja tu: Yani vikao vyote muhimu walivyo kaa, ndiyo wameamua kuzijibu zile hoja za CDM hivi ama? Nasikitika 2015 ni mbali sana......
 
Juzi serikali imebomoa vitega uchumi vya vijana soko la ndizi Big Brother pale urafiki, badala ya CCM kuandaa maandamano ya kuongelea issues na mikakati ya kuwakomboa vijana hao wanaandaa maandamano ya kupongeza hotuba ya rais anayekula na kushiba ikulu, halafu wanategemea vijana hao hao wawaunge mkono, hii ni akili kweli?
 
wewe unafikiri vijana wote wako tayari kutumika na wanasiasa uchwara wanaojiita wapinzani?? kila mtu anao uhuru wa kuchagua upande gani ausopoti,we unafikiri hali ngumu ya maisha itaisha kwa kuandamana?

Sasa nyie Mnaandamana ili iweje we ***** nn, IPO SIKU,TENA I KARIBU YATAWAKUTA YALIYOKUWAKUTA WATOTO WA SADAM HUSSEIN
 
Hao vijana watakuwa sio wa kitanzania. Kila kijana wa tanzania sasa ameerevuka na anajua nchi yetu inavyoelekea shimoni. Labda waandamane watoto wao.

Ni watanzania ukoo wa mafisadi
 
Hapa 2po 2najadili mustakabali wa nchi ye2 hatupo kidini **** ww fisadi mkuu kuna mkoa gani wenye maendeleo unayosema ww hadi unatukana madrasa CDM wasipowafukuza wa2 wa aina yako basi wa2 wataamini kuwa kuna udini hapa 2najadilina nani ana uchungu na nchi hii na nani hana au EL, PINDA,CHILIGATI,
MREMA, CHEYO,SHIBUDA,MRAMBA,BALALI,DANIEL YONA,CHENGE,NIMRODI MKONO,NGELEJA,MEMBE pia wanaelimu ya madrasa acha ufala ww hapa 2nazungumzia taifa na co dini omba radhi kwa kauli yako FISADI MKUU
 
wakiandamana vijana wote tutaandamana, hao wanafiki sana, wanang'ang'ana na masera ya wazee wao zisizo na tija kwa taifa. Ngoja waandamane bt WATAMBUE KATIKA KIZAZI CHETU HAWATAFIKA POPOTE, WAFURAHIE MAISHA YA WAZAZI WAO MAFISADI.
 
Back
Top Bottom