Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mujumba, Mar 13, 2011.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MAANDAMANO ya kuunga mkono hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa mwishoni mwa mwezi uliopita, yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam Machi 16, mwaka huu, yakiwa na ujumbe ‘amani yetu bado tunaipenda'. Akizungumza na waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana wa Tanzania, wapenda amani, Said Mwaipopo alisema, pia maandamano hayo yatahusisha kupinga kauli viongozi wa CHADEMA zinazochochea kutokea kwa vurugu nchini.

  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti huyo, inaeleza kuwa, vitendo na kauli za viongozi vya chama hicho vina lengo la kupandikiza chuki kwa Watanzania dhidi ya serikali iliyopo madarakani, ambavyo mavuno yake ni umwagikaji wa damu.

  Alisema, maandamano yanayofanywa na CHADEMA huvishwa sura ya kupanda kwa gharama za maisha, wakati huohuo yakiwa na lengo la kuipinga na kutaka kuing'oa serikali.

  Maandamano hayo yatafanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja mpaka uwanja wa Bakhresa Manzese, na Mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema anatarajiwa kuyaongoza.

  source: www.uhurupublications.com
   
 2. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bila shaka hawa wametumwa na mafisadi na inaelekea ni vibaraka. Kijana yeyote mwenye ufahamu na hali ya maisha hivi sasa nadhani hawezi kushiriki ktk maandamano hayo. Au waungwana mnasemaje?
   
 3. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hao vijana waganga njaa tu,wao na serikali inayosema CHADEMA wanataka kuvunja amani hawana lolote zaidi ya kutapatapa,mm nimehudhuria mkutano mmojawapo wa CHADEMA hamna maneno ya uchochezi yaliyotolewa
   
 4. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wataandamana kwa gharama zao au watalipwa? Wakati ule wa kampeni ya uchaguzi mkuu 2010 watu walikuwa wanasafirishwa ili wahudhurie mikutano ya CCM. Wenzao wanaandamana kupinga gharama za maisha kupanda wao wanaandamana kupinga nini?
   
 5. DAUDI GEMBE

  DAUDI GEMBE Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka hao ni watoto wa mafisadi hivyo wao na baba zao ndio wanaosema chadema wanachochea kumwagika kwa damu,hivi kumbe bado tuna vijana wajinga kama hao wa ccm na serikali yao dar vipi mbona vijana mnatuangusha naona mnafurahi ugumu wa maisha na ahadi za uongo za maisha bora kwa kila mtz,wanaoandamana nadhani wote sio wazima na hawaitakii mema nchi hii na vizazi vijavyo kwani vijna wa sasa tutaulizwa na watoto we2 tulikua wapi kupinga haya yote yasitokee kama ufisadi,mikataba mibovu ya madini,na maisha mabaya ya watz wa chini.

  Pepoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 6. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kujiliwaza huko!! Haya wafanye hayo maandamano ya kujiliwaza wafiwa,lakini si mtanzamo wa watanzania walio wengi. Acha nao wajipe moyo kuwa watanzania wanaridhishwa na kupanda kwa gharama ya maisha, na kulipa dowans ma-billion ya fedha!!! Mmmmmmmmmmh!!
   
 7. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nashauri wanaharakati tuandae mabango yaliyobeba ujumbe wa maandamano ya chadema kisha maandanano yakianza tunayaachia mabango hayo.
   
 8. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wale manabii wa muungano wa wapinzani Bungeni wako wapi? Mrema anaendelea na kazi yake baada ya fadhila za kupewa ubunge na uenyekiti wa kamati ya bungeya fedha serikali za mitaa. Kama mbunge wa TLP ndie huyu na pia ndie mwenyekiti wa chama mnataka CDM kuingia kichwakichwa katika kuunda serikali ya pamoja bungeni, hapo bado vituko vya Mzee Mapesa, miaka hii mitano tutaona sana mazingaombwe ya kisiasa, kwa sarakasi hizi zinazoendelea CDM endeleeni na mapambano pekee yenu.
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna kamati ya vijana wa Tanzania? Hao watakuwa wa CCM, nao akili zao kama huyu alienzisha hii thread, hivi kweli hata kwa akili ya kuzaliwa kuna lipi la kuungwa mkono kwenye ule upupu wa JK? Au wanataka wakamjibie hoja, maana yeye alishindwa kujibu hoja akaishia kulalamika tu. Hatuna rais.
   
 10. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Maandamano ni mbinu mmoja wapo ya wananchi kupaza sauti zao ili wasikike kilio chao au hisia zao, kufuata ushauri wako naona itakuwa vurugu na mtawapa usemi CCM, serikali yao na Vibaraka wao kuwa CDM inataka nchi isitawalike tena ni chama cha vurugu. Ukweli uko palepale, maisha ni magumu, umeme ni bidhaa adimu kwa wananchi wa kipato cha chini, maji ni suala la kutembea kilometa 3 hadi kupatikana kwa wtu wa vijijini na wamjini ni lazima wanunue ktk magari au mkokoteni bila kujali yametekwa mitaroni,ktk madimbwi au visimani hayo yote ndai ya miaka 50 ya UHURU.
  Atakaye andamana hatobadili ukweli, akitoka kwenye maandamano hayo game bado ni ileile hana cha kubadili 5000/= aliyopatiwa ikiisha akisikia maandamano yanayobainisha ukweli na kupinga udharimu yanayo andaliwa na CDM atashiriki bure bila kulazimishwa na yeyote au kupewa hata senti moja. Waache wayafanye lakini hilo haribadili ukweli kuwa MAISHA MAGUMU, HATUTAKI KUILIPA DOWANS, TUNATAKA KATIBA MPYA nk.
  Tujenge uvumilivu wa kisiasa hata kwa vibaraka wa ccma watumwao kufanya maigizo ya maandamano, tusijekuwa kama CCM watakao nguvu za DOLA zitumike kuzima NGUVU YA UMMA.
   
 11. Madago

  Madago Senior Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Then wayaite "maandamano ya kujibu maandamano ya chadema" na sio maandamano ya kuunga mkono hotuba ya jk. Na hayo mabango Yao waandike majibu kwa chadema kama "garama za maisha ni ndogo", "hatuwalipi dowans", "hakuna mafisadi Tanzania", "umaskini ni wa kujitakia", nk, then waone moto wake huko kwenye destination ya hayo maandamano ...
   
 12. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hoja zako zimejaa mashiko
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  SAFI waache waandamane

  April 16 tutaandamana na kusema 'hakuna amani Tanzania' ila kuna bomu linalosubiri kulipuka!
  Hao vijana wanaaibika tu, tutawapiga picha na kuwapeleka wazazi wao mikoani!

  Mandamano yetu wasitukatalie!
   
 14. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  We are still so far away, from far away to be where we are supposed to be. Shame on this country...
   
 15. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  waungwana tunasema umechemka.Vijana waliojiweka tayari kutumika kufanya vurugu ni masela wa chadema na sio wengineo.Kijana mwenye mtindio wa ubongo ulio sawa haiingii akilini kwake kuwa kufanya vurugu kunaweza kubadilisha maisha yake yeye kama yeye, na kama maisha yake yeye kama yeye hayawezi kubadilika basi hakuna haja ya kuendea upuuzi huo. Mfano slaa anachochea hizo kwa vile kashindwa kuing
   
 16. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aliyeshiba hamjui mwenye njaa!! Hope yeyote atakayeandamana basi yeye hii hali tete ya maisha itakuwa imempitia kushoto.Anyway mkwere alishatuita sisi kuwa ni mbayuwayu hivyo akili za kuambiwa tutachanganya na zetu wenyewe!
   
 17. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huoni aibu kutofautiana na wenzio wote walio-comment hapo juu.Nina wasi wasi sana na elimu yako,kama sio std 7 itakuwa madrasa na ndio maana mikoa wanayotoka watu wa dizaini ya kwako ni maskini wa kutupwa na mtaendelea kuwa maskini mpaka mwisho wa dunia.Pole sana jitahidi uende shule ukanoe ubongo wako vinginevyo utaishia tu kuvaa t-shirt na kofia za CCM huku ela zote mkimpa Rostam na wenzie
   
 18. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Yeyote anayepinga maandamano ya kukemea ufisadi ni msaliti wa Watanzania. Hao wanaosema kuwa maandamano ya Cdm yatavunja amani na kuleta fujo, ndio hao hao ambao wanapandikiza mawazo hayo kwa wananchi na kuwatia hofu. Hata hivyo mbinu zao hazitafanikiwa kwani wananchi wamechoshwa na maisha yao ambayo yamejawa na hofu na mashaka mengi mpaka sasa. Hebu niambie, vijana hao wa ccm wanaandamana kutetea ufisadi? Wanaandamana ili maisha magumu. ruhswa, umaskini, uongozi mbovu, maradhi, ujinga, dhuluma n.k. viendelee? Nasubiri kuona hayo maandamano na matokeo yake, hasa katika fikra za Watanzania.

  Sent from my Apad using Tapatalk.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Haya bwana, waandamane tu ni haki yao!
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Waache waandamane akina mr Mak ambao wanaona ndo maisha staili ya mtanzania. Iteni mjuavo,sijui maandamano ya cdm,vurugu.uhaini nk,lakini mi nachojua "there is no free right in tanzania" in order to survive we need Class struggle,now cdm has decided to lead the lower class so as to eliminate the gap of the richest plundering class,ccm,tlp et all. Call it how you wish,we shall stand to reduce the gap!
   
Loading...