vijana Arusha;Wamtungia wimbo LEMA wakumsifia kwa kazi ilotukuka.

ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,215
327
Mara tuu bada ya ofisi ya chadema kuuchomwa moto na watu wanaosadikiwa ni mahasimu wa siasa...... vijana na wafuasi wa cdm wameingia studio na. kufyatua kibao ambacho si mda kitakuwa hewani .

kaeni mkao wa kula.
 
Ifike wakati siasa za Arusha na Utengamano.
 
Mara tuu bada ya ofisi ya chadema kuuchomwa moto na watu wanaosadikiwa ni mahasimu wa siasa...... vijana na wafuasi wa cdm wameingia studio na. kufyatua kibao ambacho si mda kitakuwa hewani .

kaeni mkao wa kula.

atakuwa kawanunulia viroba huyu 'mvamizi/mkimbizi' wa vyama tuliyempokea mwaka juzi tu na sasa amekula ya mbuzi ameota mapembe ndani ya chama kwa msaada wa mbowe kwa kujiona yeye ni zaidi kuliko hata waliokijenga chama !!!!!
 
Sasa hapa kuna uhusiano gani nyimbo na uchomaji wa ofisi.
 
Naangalia album yake ya kuliwa hapa nipo na watoto hata Jana Usiku ilioneshwa live hapa kitaa kwetu kiingilio ni shs 100!

Watoto kibao walikuwepo wakishuhudia pilau! Yale mambo ya Usiku Yale!
 
Lema magamba yakimsikia yanapata kuhara gafla, huyu jamaa kiboko ya migamba popote ilipo
 
Na lile tukio la kimahaba walilomfanyia wale ma bounser litawekwa kwenye verse za hiyo single?
 
ile video yake ya pilau ilikosa sound track, ndo inataka kuwekwa sasa hivi
 
Mara tuu bada ya ofisi ya chadema kuuchomwa moto na watu wanaosadikiwa ni mahasimu wa siasa...... vijana na wafuasi wa cdm wameingia studio na. kufyatua kibao ambacho si mda kitakuwa hewani .

kaeni mkao wa kula.

Poor people,poor mind and vision.Why dont youth spare their time create good things if they can do for Lema!
 
atakuwa kawanunulia viroba huyu 'mvamizi/mkimbizi' wa vyama tuliyempokea mwaka juzi tu na sasa amekula ya mbuzi ameota mapembe ndani ya chama kwa msaada wa mbowe kwa kujiona yeye ni zaidi kuliko hata waliokijenga chama !!!!!

kanywe na we hivyo viroba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom