Vijana ambao bado hamjaoa oeni mabinti wa kazi

Nilishawahi kuwa na kidem kibeki 3 daah tulipendana sana sasa sijui ilikuwaje? Akaja kunyakuliwa na Baba yake na kwenda kuozeshwa huko kwao na huyo jamaa aliyeozeshwa nae kajaza mimba Akaachana nae kidem kikiwa na ujauzito nomaa.. ila alikuwa akiniadithia akiwa hapo kazini boss wake alikuwa anabinjuka chumbani kwake kwa kutaka kumpasua na alisema alikuwa akimkataa sasa sijui alikuwa akimuadithia na Baba yake ndio maana akaja kumchukua na kumuozesha hili sijui.. ila kilikuwa kizuri sana .. sasa hivi ana hali mbaya sana tofauti na alipokuwa kazini.. Mimi nilikuwa namshaurigi tu aangalie maisha yake asifanye uzembe .. nilikuwaga na hali tete kipindi hiyoo
 
Ndugu haka nakatengeneza kwanza nikakaingiza mlimani city hauwezi kuamini kama ni ka HG. Ni mrembo hasa mrf mweupe kama unajua mamiss ndio haka. Kana lips zile za wadada wa mbele zipo kama nyanya nyekundu nyekundu. Hakana matter call ya kuchosha. Ni kazuri kana jua aisee halafu kapo smart tulipima kbs hapa nakavutia muda nikajaze. Kamenituliza halafu ni costless sio akina wale.
Oya mbona kama namfahamu huyo demu anaishi Kijitonyama qmqmqq
 
Ungeshuka nae
Ahahahah..Isingewezekanaqq.Nilikua safar kikazi nakwenda mji mwingine nawah appointment na wenye ofis zao na yy akashuka mji mmoja kabla ya mimi na hata sikujua eneo lile linaitwaje?
 
Hapana komredi huyu anaishi Kigamboni.
Maana kuna hiyo mali ipo Kijitonyama ina sifa kama hizo qmqmqq mzee halafu ni dada wa kazi oyaaaa ngoja ninyamaze iyo mali hata kuroga nitaroga nitaua hata mtu chombo kali halafu kitandani ipo vizuri inaakili kama zote iko smart yan Dah shida hizi
 
Mke anapaswa kuwa rafiki pia!

Kuliko kuoa mke ambae hata huwezi piga naye story ya jinsi mambo ya Ulimwengu yanavyokwenda?!

Yani mkiwa wote nyumbani ni kimyaaa tu ,

Mtabaki kuulizana kitu fulani kiko wapi basi,

Yani ni usiriasi na ukimya basi lakini ile hali ya urafiki, sharing, caring, bonding n.k hakuna miongoni mwa wapenzi au wanandoa sasa hapo raha itatoka wapi?!

Saingine mwanamke wanafurahia mume akiwa hayupo home ili mke atoke aende kwa shoga zake kupiga umbea n.k.
 
Kwa staili hii naombeni kuwa house girl wa mtu, japo nipate CV ya kuolewa😂 mlisema mnataka chura, now ni dada wa kazi tu wanaume mnatuchanganya😒
 
Kuna wanawake wengine ukioa hata mkitoka mkakutana na watu wengine labda family friend Mkawa kwenye mazungumzo hawanaga cha kuchangia siyo kuwa ni mkimya au vipi bali ni kilaza na anaogopa akichangia atajichoresha ujinga wake kwa hiyo anajiona mnyonge !

Na Mwanaume mwingine anaona hata noma kupata ujasiri wa kutoka na mkewe sababu mke mshamba fulani!

Kwa hiyo kila mtu aoe wa kufanana naye ili msichoshane msiboane!
 
Ndugu haka nakatengeneza kwanza nikakaingiza mlimani city hauwezi kuamini kama ni ka HG. Ni mrembo hasa mrf mweupe kama unajua mamiss ndio haka. Kana lips zile za wadada wa mbele zipo kama nyanya nyekundu nyekundu. Hakana matter call ya kuchosha. Ni kazuri kana jua aisee halafu kapo smart tulipima kbs hapa nakavutia muda nikajaze. Kamenituliza halafu ni costless sio akina wale.
Mkuu unachelewa nini sasa ,OAA kabisa huyo, usipoteze muda mkuu
 
Back
Top Bottom