Vijana ambao bado hamjaoa oeni mabinti wa kazi

Kuna wanawake wengine ukioa hata mkitoka mkakutana na watu wengine labda family friend Mkawa kwenye mazungumzo hawanaga cha kuchangia siyo kuwa ni mkimya au vipi bali ni kilaza na anaogopa akichangia atajichoresha ujinga wake kwa hiyo anajiona mnyonge !

Na Mwanaume mwingine anaona hata noma kupata ujasiri wa kutoka na mkewe sababu mke mshamba fulani!

Kwa hiyo kila mtu aoe wa kufanana naye ili msichoshane msiboane!
Hao wajuaji mkuu ni wasumbufu balaah , mafahari wawili hawakai zizi moja
 
Sisi wengine kutufanyeje? Au ndo tukachukue fomu ya usista parokia ya Cecilia

Nyie mnafaa kua masingle mothers, kutomb.wa na kutupwa kama condom mna viburi, ngebe, nongwa, gubu na wajuaji sana kisa vijiajira ushuzi vyenu.

20210914_162423.jpg
 
Kwanza niwatakie mwaka mpya wenye baraka tele.

Ninajua kuna vijana wengi ambao wamejiwekea malengo ya kupata jiko mwaka huu, ninawashauri mimi niliye pata jiko kwa mdada wa kazi kama miaka mitano hivi kuwa hawa wadada wanafaa kuolewa yaani ni mawife material kabisa.

Wana heshima, busara na bidii hutojuta kabisa ikiwa unatamani kuishi nao hadi mwisho wa maisha yako. Achana na hao wenye makucha marefu utajuta kwenye maisha yako. Huo ni ushauri tu an experience ambayo nimeipata kupitia wife wangu.

Wanasema kitu kizuri kula na wenzio ndo maana nimeona niwamegee hii siri ambayo wengi hawaijui.
Ila wawe tayari kuwa waliku bila kuchoka na wajue kuwachukulia hao madada.

Hata hivyo watu wengi wanaoa wadada wa kazi.
 
Mimi ninako kamoja kasukuma aisee kazuri kakija home kanafanya usafi utadhani nyumba imesafishwa na maafande wa jeshi shuka zinatandikwa utadhani kalamba farasi kitanda. Kinakatika mauno
Mkuu acha uongo wadada wa kisukuma huwezi kukuta wakifanya kazi za ndani hata siku.

Hakuna msukuma atakayeruhusu binti yake awe kijakazi kwa mtu kwanza wengi huolewa wakiwa below 18 years huyo wako atakuwa kabila jingine ila kakulia usukumani tu.
 
Hakuna mwanamke wa kileo mwenye "kijiajira" asiye na makucha marefu. By the way makucha yanayozungumzima hapa ni matabia mabovu ie ujuaji, upumbavu wa 50/50, kiburi nk

Wewe mwanamke aliyekuvuruga ametuachia mtihani huku JF. Maana nakuona unaharisha kuhusu wanawake everywhere. But as long as it makes you feel better, endelea.
 
Mke anapaswa kuwa rafiki pia!

Kuliko kuoa mke ambae hata huwezi piga naye story ya jinsi mambo ya Ulimwengu yanavyokwenda?!

Yani mkiwa wote nyumbani ni kimyaaa tu ,

Mtabaki kuulizana kitu fulani kiko wapi basi,

Yani ni usiriasi na ukimya basi lakini ile hali ya urafiki, sharing, caring, bonding n.k hakuna miongoni mwa wapenzi au wanandoa sasa hapo raha itatoka wapi?!

Saingine mwanamke wanafurahia mume akiwa hayupo home ili mke atoke aende kwa shoga zake kupiga umbea n.k.
Huo urafiki ndio unawaletea mazoea na badae madharau Kisha mnakuja Lia Lia humu ...sawa endeleeni
 
Kuna wanawake wengine ukioa hata mkitoka mkakutana na watu wengine labda family friend Mkawa kwenye mazungumzo hawanaga cha kuchangia siyo kuwa ni mkimya au vipi bali ni kilaza na anaogopa akichangia atajichoresha ujinga wake kwa hiyo anajiona mnyonge !

Na Mwanaume mwingine anaona hata noma kupata ujasiri wa kutoka na mkewe sababu mke mshamba fulani!

Kwa hiyo kila mtu aoe wa kufanana naye ili msichoshane msiboane!
Sawa endeleeni kuoa kwa ajiri ya macho ya watu ....ila mkipigwa na vitu vizito msije kutulilia huku
 
Back
Top Bottom