Vijana 60,000 wanapowania nafasi 1,000 za ajira

Zifanyike juhudi za maksudi kutumia mabonde na mashamba makubwa ya chai,tumbaku,mpunga,mahindi,mboga mboga,uvuvi,miti na hata ufugaji kuwaingiza ajira vijana humo kwa serikali kuwasapoti kwa kununua matrekta mengi kujenga kambi kwa maana ya nyumba nyingi jirani na mashamba hayo mikoani, kuwawekea huduma zote muhimu za hospital,shule,mabenki nk,vijana wazalishe mazao yachakatwe serikali ifanye export.
Mavi-jana ya Tanzania hapo huyapati. Yanataka kazi za kuajiriwa ofisini yawe yakiamka asubuhi yachomekee. Nilikuwa na toto la dada yangu tumelifungulia duka la simu na vifaa vyake eneo zuri kabisa. Mwanzoni tulivyokuwa karibu nalo hatujahamishwa lilikuwa linauza kwa siku faida 50k mpaka 70k baada ya kutoa na gharama zingine, tumekuja kuhamia tukasema dogo kumwachia duka uwe kama mkopo awe wakaturudishia kidogo kidogo ule mtaji wetu uliweka pale. Mamamake duka likamshinda anakula tu hela hakumbuki tena kutuma, tumemtimua na kumrudisha kijijini kwao na degree yake ya political science and public admin. akajifunze! Sasa hivi amekuwa mvuvi labda akili itamkaa sawa!
 
Ujinga kujisifia kumtimua ndugu yako, ili aje mbaki. Ulipaswa kutulia nae kwa namna yoyote akuelewe.
 
Ndugu hawi mjinga, siku moja atakuosha mavi ukiwa umelazwa.
Kwa mentality hii utaibiwa hadi wamalize vyote. Issue ya kuzikwa na ndugu zako isikufanye uwe boya na kufumbia ubadhirifu kwenye miradi yako.

Ukifa utazikwa tu....hii haijalishi kama huyo ndugu atashiriki mazishi yako au lah.
 
Naunga mkono hoja! Halafu ukute hili boya hata halina mbele wala nyuma na bado linafugwa kwa shemeji yake na kusikilizia miguno ya dadake!
 
Naunga mkono hoja! Halafu ukute hili boya hata halina mbele wala nyuma na bado linafugwa kwa shemeji yake na kusikilizia miguno ya dadake!
Heheheh we jamaa, haya.
Nimekuambia ukweli, kiburi ni kwakuwa unacho na unaweza kumchukua hata mtu baki akafanya shughuli zako. Huwezi kumeuelenisha jamaa yako akakusaidia.

Subiri ukikua utaelewa nilikuwa namaanisha nini niliposema hivyo.
 
Hapo red, wala hilo sio Tatizo Kuipata mkuu. Ukiwa na docs zote within 2 weeks wanapata labda wapunguze bei kidogo. Ila Tatizo pesa/nauli looh, Tangu niipate yangu kribia inaExpire Sijawahi kuitumia hata hapo Namanga. Nadhani Wangeweka mfumo wa kukopesha pesa(Nauli snd other expenses) kwa ambao wanataka kwenda nje wakiwa na sifa halafu wawe wanakata hela yao taratibu.
Anyway naona serikali haina nia na mipango ya kuinua vijana wa taifa hili....Wacha tuendelee kukaba na kuiba kuku mitaani na kunywa Viroba😢🚶🚶🚶
Kwakweli hilo nalo neno 🤣✊🏽
 
Back
Top Bottom