Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana 15 wenye nguvu na ushawishi ktk CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Teh Teh Teh, Feb 18, 2011.

 1. T

  Teh Teh Teh Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIJANA 15 BORA WENYE NGUVU CHADEMA HAWA HAPA:-


  1. Zitto Kabwe
   • Naibu Katibu Mkuu.
   • Mbunge – Kigoma Kaskz – 2005 – hadi sasa.
   • Mshauri wa Rais wa Ujerumani masuala ya kiuchumi – Sahara.
   • Ana uthubutu. Ana nguvu sana ndani ya Chama.
  2. John Mnyika
   • Mkurugenzi wa Vijana kwa miaka 6.
   • Mkurugenzi wa Mambo ya Nje hadi sasa.
   • Amekaimishwa Ukatibu Mkuu mara nyingi.
   • Mbunge wa Ubungo – 2010 hadi sasa.
   • Yupo focused.
   • Hana ushawishi ndani ya Chama kwa wanachama wa chini sababu hajichanganyi. Anakubalika na vijana.
  3. John Heche.
   • Diwani wa Tarime Mjini – 2008 – 2010.
   • Alibebwa na uchaguzi wa marudio.
   • Ana nguvu kubwa ya ushawishi ndani ya Chama ingawa hana cheo chochote.
   • Aligombea Uenyekiti wa vijana – akaangushwa na Kafulila.
  4. Halima Mdee.
   • Mbunge – 2005 – hadi sasa (Viti maalum & Kawe)
   • Ni mwanamke kijana anayekubalika sana ndani ya Chama.
   • Ana uthubutu mkubwa sana..
  5. Dady Igogo.
   • Afisa wa Chama.
   • M/kiti wa kamati ya wagombea kwenye Timu ya Taifa ya Kampeni.
   • Aligombea Unyekiti wa Bavicha – akaangushwa na Kafulila.
   • Ana uthubutu, yupo focused & mkakati.
   • Ana ushawishi kwa vijana wa Chadema.
  6. Regia Mtema.
   • Ni Mbunge 2010 – (Viti Maalum)
   • Aligombea jimbo la Kilombero.
   • Ni mlemavu anayekubalika na mwenye uthubutu.
   • Ni Afisa wa Chama.
   • Anakubalika na kundi la vijana wa kike.


  1. Ezekiel Wenje
   • Mbunge wa Nyamagana.
   • Ana uthubutu.
   • Yupo focused.
   • Amebebwa na uchaguzi wa Nyamagana – 2010.  1. Habib Mchange.
   • Amebebwa na siasa za makundi sana.
   • Ana ushawishi sana kwa vijana.
   • Ana mikakati, yuko focused.
   • Aligombea jimbo la Kibaha – 2010 akapata > 40%
   • Ana uthubutu + anakubalika.
   • Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili – UDOM.


  1. David Silinde.
   • Mbunge wa Mbozi Magh. 2010 – hadi sasa.
   • Ana uthubutu


  1. John Mrema.
   • Ni Mkurugenzi wa Bunge & Halmashauri.
   • Aligombea ubunge jimbo la Vunjo.
   • Yupo Strategic na focused.
   • Ana uthubutu.
   • Amebebwa sana na siasa za makundi.

  Wengine ni:-

  1. Vincent Nyerere.
  2. Owawa Steven
  3. Burton Gwakisa.
  4. Mwakajila Emanuel
  5. Mhonga Said Ruhwanywa.

   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu umejitahidi kuchambua kwa kadri ya uelewa wako
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ok mzee! 90% ya cdm wako focused :clap2:
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  na mimi nimo umenisahau... 2015 wapo wengi focused! vijana wengi walio vyuoni leo hii na waliomaliza wako ndani ya CDM. mambo mazuri!!
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Si mpaka awe bungeni tu; Makamanda wako wengi sana huku mtaani kupiga jaramba kama vile:

  Dr Kitila Mkumbo
  Yule Msemaji wa CDM
  Vijana wa Chadema Mikoa ya Mbeya, Iringa na Arusha
  Selasini; listi nene tu mbona.
   
 6. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zito hastahili kuwa namba 1 katka hiyo list.
  Anayestahili namba hiyo ni Mnyika John John kwa sababu:
  -Alishinda kwa kishindo kikubwa mno katika jimbo la Ubungo lililokuwa na ushindani mkubwa sana kuliko majimbo yote Tanzania, akichuana na mgombea wa ccm aliyekuwa anabebwa sana na chama chake na vilevile Julius Mtatiro aliyekuwa na ushawishi mkubwa sana wa kisiasa.
  -Alikaimu nafasi ya Ukatibu mkuu wa chama katika kipindi cha uchaguzi mkuu akiwa yeye ndiye mtendaji mkuu nafasi ambayo aliimudu barabara.
  -Alipigia kampeni wagombea wengine wa chadema katika kipindi hicho hicho.
  -Bado aliendelea kushikilia nyadhifa zake nyingine bila kutetereka.
  -Yuko focused na Hakurupuki
  -Hana papara wala uchu wa madaraka wala uroho wa utajiri wa haraka haraka.

  Kwa upande wake, Zito yeye ni kinyume cha hayo hapo juu.
  Kwa mawazo yangu Zito alistahili namba 5.

  List yangu ni hii hapa:
  1. Mnyika
  2. John Mrema
  3. Halima Mdee
  4. Hezekia Wenje
  5. Zito
  6. Higness Samson
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lengo la mtoa hoja ilikuwa imelenga vijana wenye nguvu na si wanasiasa wenye nguvu ndani ya CHADEMA!
   
 8. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Na vipi vijana wa Mwanza?!!!!!
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi mwisho wa kuitwa kijana ni miaka mingapi vile?
   
 10. T

  Teh Teh Teh Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  comrades.
  nimelenga vijana wenye nguvu ndani ya Chama!
  Highness ni mgeni ndani ya Chama. hajulikani, hana ushawishi. ana ushawishi Ilemela.
  Zitto nje inawezekana hana nguvu. lakini ndani ya muundo wa kiuongozi na vikao vya Chama, Chadema hawawezi kupuuza nguvu zake! pengine angeshatimuliwa.
  Mnyika ana nguvu nje ya chama, ndani ya chani ya chama hawezi kumpiku zitto.
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Kijana ni umri wa miaka mingapi mpaka ngapi?

  Sisi UVCCM ukifika 31 wewe siyo kijana tena - UVCHADEMA je?
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  yaani haujanitaja?

  are you sirias?
   
 13. T

  Teh Teh Teh Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana ndani ya Chadema ni miaka 18 - 35 kulingana na katiba yao.
  Dr, Kitila anakaribia 40
   
 14. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na Godbless Lema ana ngapi?
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Makamanda mbona tupo kitaan wengi kaka! CDM TUPO NONDO!
   
 16. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #16
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so what?tukishawajua?:A S 13::hand:
   
 17. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #17
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwakajila Emanuel, kwa lipi???:decision:
   
 18. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  mbona Dk wa ukweli Slaa hayupo?kwani ye sio kijana??eboooooo!!!
   
 19. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hujamtendea haki huyu

  [​IMG]
   
 20. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umejitahidi,but zitto is no longer adviser to german president.the president is no longer in power.zitto is no longer powerful in chadema as he used to be due to different scandals attached to him.in the list of 15, he is no. 13!!!his acceptability/approval ratings according to my findings is 21%...
   
Loading...