Tetesi: Vigogo watatu na maelfu ya wanachadema Kahama kutimkia CCM

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,535
2,154
Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.

Aidha licha ya vigogo hao ambao wote ni wale waliokihama chama hicho mwaka jana pia maelfu ya wanachadema wa kawaida wanatarajiwa kurejesha kadi zao na kujiunga CCM mbele ya mwenyekiti mpya.

Watu hao wanadai kuwa hawaoni sababu ya kuendelea kuwa wapinzani wakati wapinzani siku hizi wanakumbatia na kutetea ufisadi kwa kisingizio cha demokrasia.

Kwakweli ziara hii ni msiba kwa CHADEMA.
 
1469689216485.jpg
 
kwa hiyo ni ziara ya kisiasa.. ambazo mfuga ng'ombe alikurupuka kama kawaida yake kuzikataza?
maana malengo yake ni yale yale.. na mbona mm naona kumshabikia huyu Dikteta na mambo yake ni Kuwaonea watanzania wenzako.
 
Tehetehetehe. Wakirudi CCM watapewa muda wa kukiimarisha chama kutokana na athari walizozisababisha
 
Kuna jamaa mmoja wa Lumumba alikuja na habari hapa kwamba siku chache kabla ya mkutano mkuu wa CCM kuna mbunge mmoja wa CHADEMA angekuwa amekihama chama. Hadi leo hii sijasikia kwamba kuna mbunge yeyote wa CHADEMA aliyehama chama. Kwanini vijana wa umagambani mmekuwa mkijidhalilisha hivi?
 
Bora wahame tu, hizi operations za kushikishana UKUTA hazifai kabisa
 
Ng'ombe wanarudi zizini baada ya kwenda chadema na kutegemea maslahi wakaishia KUTAHIRIWA, sasa wanarudi zizini kuungana na wenzao waliokwepa tohara na wakaonekana mashujaa kwa kudumisha mila zao, uongo, chuki, dharau, kebehi. Wafike salama ila wamenyooshwa watakuwa na adabu.
 
Back
Top Bottom