Vigogo wapigana vikumbo harusi ya binti Lowassa

Jayfour_King

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
1,135
0
Habari ni nzuri ingawa kichwa cha habari hakilingani na taarifa yenyewe. Kwa ufahamu wangu mimi, kupigana vikumbo means kugombea kitu au vitu, sasa sijui mwandishi alitumia heading hiyo kwa ajili ya kunogesha au ndio wanavyofundishwa huko chuoni.

Kuhusu mantiki ya sherehe hiyo ni kwamba huyo dk anna alikuwa anafanyiwa sendoff party (hii ni kwa mujibu wa issamichuzi.blogspot.com
 

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,514
2,000
inasemekana Dr. Lowassa anaolewa/keshaolewa na mtoto wa kigogo wa zamani wa wizara nyeti ya maliasili na utalii..mzee emanuel severe..kijana wake noel severe ndio kakamata ndito ya EL....u think ur smart??...work out the math ...

severe alikuwa bonge la kimeo/fisadi hapo wizarani...kumngoa ilikuwa sawa na kungoa mbuyu wa oysterbay.....mwanae na binti wa EL wakioana ...napata picha wajukuuu watavyokuwa...duuuu...MUNGU ISAMEHEE NA IHURUMIE TANZANIA
 

Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,934
2,000
Du jamni kila kitu kodi zenu fanyeni kazi vijana acheni majungu, kwa taaarifa yenu ilifanyika kwa badget ya milion 80. kwa hadhi na pesa aliyonayo huyu jamaa ni sawa kabisaaa. tuongee vitu vya maendeleo tuachane na huyu fisadi.
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,285
2,000
Naona watu wameachana na blog ya Michuzi siku hizi, ametundika picha kule kama siku 3 zilizopita hakuna anayejua.
 

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,557
2,000
baacheni batumie, benyewe bameshika mpini na sie tuko kwenye makali,

hiyo kwenye mchezo wa darts inaitwa shake,
maana mkuu EL, alikuwa anataka kuprove wote wanaosema wako kwake ni kweli au maneno tu, kwa kifupi msg imefika kwa:

1) Kikwete
2) Mengi na wenzie
3) Mwakyembe na wenzie
4) Wananchi wote kwa ujumla (hapa nazungumzia ile 70% ya mkuu)
 

Mmongolilomo

Senior Member
Feb 25, 2008
138
195
Nasikia anapata mwenza yaani send off yake. Haya ni mambo tu watanzania tunapenda sana starehe lakini hatuna kitu, kinapokuwepo lazima uulize, kweli na huyu anafanya haya?
 

Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,870
2,000
Mwandishi wa habari hiyo anaweza kuwa bingwa wa udaku hapo Tz, yaani kaandika muda wa watu wote walivyotoka hapo Ukumbini! Hadi muda wa ukumbi kusafisha na kuondolewa viti kaandika!

Tena ana macho makubwa sana kiasi cha kuona maandishi madogo ya Hitachi
 

The Invincible

JF-Expert Member
May 6, 2006
5,998
2,000
Mwandishi wa habari hiyo anaweza kuwa bingwa wa udaku hapo Tz, yaani kaandika muda wa watu wote walivyotoka hapo Ukumbini! Hadi muda wa ukumbi kusafisha na kuondolewa viti kaandika!

Tena ana macho makubwa sana kiasi cha kuona maandishi madogo ya Hitachi

Hapo hata mimi nimeachwa hoi. Yaani kiongozi huyu anatoka dakika hii, yule hii. na kadhalika. Mmmhhhh! So detailed indeed! Au ndio kampeni zenyewe?
 

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,866
2,000
Ina maana sherehe ya Dr Ada (sio Anna) Lowassa ilikuwa na umuhimu zaidi ya Uhuru wa Tanganyika kwa walio kosa hudhuria kesho yake? au katika kuonyesha loyality to his excellency the next President of URT
 

grandpa

Senior Member
Aug 24, 2008
185
195
Bravo Ramadhani Semtawa umefanikiwa kumweka bwana wako Fisadi EL kwenye frontpage! Inajulikuna wewe ni mmoja wa waandishi wa habari waliopewa pesa kusafisha mafisadi. Unataka ionekane kuwa Lowassa bado anapendwa na kukubalika na viongozi wenzake (therefore na wananchi.) Janja yako imekwishajulikana. HATUDANGANYIKI!!!!! Story yako haideserve kuwa front page ni ya kiudaku inafaa kuwa kwenye back page on entertainment au starehe section
 

Nurujamii

JF-Expert Member
Jun 14, 2007
414
195
Mwandishi wa habari hiyo anaweza kuwa bingwa wa udaku hapo Tz, yaani kaandika muda wa watu wote walivyotoka hapo Ukumbini! Hadi muda wa ukumbi kusafisha na kuondolewa viti kaandika!

Tena ana macho makubwa sana kiasi cha kuona maandishi madogo ya Hitachi


Hapo hata mimi nimeachwa hoi. Yaani kiongozi huyu anatoka dakika hii, yule hii. na kadhalika. Mmmhhhh! So detailed indeed! Au ndio kampeni zenyewe?

Halafu akashindwa kusema ilikuwa inahusu nini! i mean send off kwa ajili ya kitu gani! Udaku mtupu!
 

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Picha za harusi from Global P...Dk. Adda Lowassa akiwa na mumewe Neol mara baada ya kula kiapo cha ndoa


..wazazi na ndugu wengine wakiwa katika picha ya pamoja kanisani mchana huu


...Mh. Lowassa na mkewe wakiwa kanisani


..ndugu wa wanandoa wakiwa katika sare maalum za harusi hiyo


Ndugu wa familia wakifuatilia ibada ya ndoa.
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,322
2,000
Send off....ameolewa jana....na mtoto wa saveri...(Aliekuwa anatetewa na EL pale wanyama pori)
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,125
2,000
Hehehehe
Mara nyingi sherehe zenye mbwembwe na ukwasi mwingi uhishia ktk kishindo KIKUUU

LAkini wanamatch maana mwana wa nyoka si mjusi.

Mbona wengi waliohudhuria sendoff hawakutokeza pua zao kwenye uhuru day?? au walidhani sherehe za uhuru ni za JK??? We paid them (mishahara na pensheni) to be there lakini wamekula fedha na kuingia mitini.

Damn puppet politicians wa TZ.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom