Vigogo wamegundua nini tanesco? Tanzania tazamiwa, yavamiwa na wazamiajii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo wamegundua nini tanesco? Tanzania tazamiwa, yavamiwa na wazamiajii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtaka Haki, Dec 28, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mradi wa kufua umeme kwa upepo unaokazaniwa kuuziwa Tanesco inasemekana ni wa jamaa yule yule wa Six Telecoms. Wakati huo huo vigogo hao walio karibu na rais wakikazana kuiuzia TANESCO umeme wa megawatt 100 kwa bei wanayoitaka. Rz1 kaja na mkakati wa kuuza vocha za LUKU, anakazana na tenda ya kuuza vocha za LUKU.
  Kuna nini TANESCO? Richmond walichota TANESCO, DOWANS bado wataendelea kuchota huko huko. Tunamuomba kwa heshima rais Kikwete ajiuzulu kwa kuliingiza Taifa katika giza na umaskini. CCM imeendelea kuwaacha watu hawa. Wananchi wanaumia mno. Juzi nilimsikia mtu mmoja akisema Tanzania tuna maadui wanne.

  1. Umaskini 2. Ujinga 3. Maradhi. na adui wa 4 wa TANZANIA ni CCM.
   
Loading...