Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Hivi majuzi tuliaminishwa na mkuu wa kaya kuwa asilimia kubwa ya wanafunzi wa 'mwendo kasi' waliodahiliwa kwenye program maalum ya UDOM walikuwa ni watoto wa vigogo.
Kama mnavyojua kuwa ualimu ni fani ya kizalendo, ninaonelea uzalendo wa hali ya juu kwa vigogo hao na ingekuwa poa kama wangejitokeza hadharani tuwapongeze kwa kuonesha uzalendo huo wa hali ya juu.