Vigogo wafurika Arobaini ya Bilionea Mathias Manga, ajengewa mnara wa kihistoria

Joe razinger

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
446
1,000
duuu msibani na makreti ya bia humo humo
Mungu atusamehe waja wake
Ukitaka wanywe potelo? kwa kaskazini hiyo ni asilimia yao,ata mbege itakuepo apo, na ata padri anakula bia, katoliki kunywa bia sio shamba, kulewa ndio dhambi
 
manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,613
2,000
Ukitaka wanywe potelo?kwa kaskazini hiyo ni asilimia yao,ata mbege itakuepo apo,na ata padri anakula bia,katoliki kunywa bia sio shamba,kulewa ndio dhambi
kwa hiyo hao wanaokunywa huwa hawalewi??siamini hili
utamu wa bia ni kama unga tu huwez tumia kidogo kadri unavyotumia ndo utataka zaid
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
5,072
2,000
Kwahyo nchi hii kila bilionea ni kada wa ccm!!! Basi kuna tatizo kubwa sana kama nchi
If you can't fight them then join them. Hakuna mwenye pesa nje ya CCM maana atakuwa sio salama na watamfilisi tu angalia mzee Sabodo alivyopigwa fitna, angalia Mbowe wanavyokomeshwa, angalia akina Lema nk, Ila wakirudi CCM hata ukiua kesi inapigwa chini tu.

Jiulize yule mbunge aliyekutwa like shinyanga na nyama pori na akakutwa na bunduki kibao ameishia wapi? Jiulize yule DED aliyeua mtu kanisani kwa risasi ameishia wapi? Ukishakuwa mwana CCM your protection is guaranteed. Your businesses are safe, your unscrupulous dealings are safe from probe, your connections are worth billions and most of all you become a bourgeoisie.

Yani hata ukiwa mtumishi wa umma na ukajiweka kimbelembele huko CCM utapata nafasi kibao za uteuzi na utaishi vizuri tu,.

Unajua I didn't know kwamba ule uNEC ni dili sana kwa sababu wale jamaa wanalipwa millions na wagombea Ila pia chama kinawalipa pesa nzuri sana wakati wa uchaguzi na Ile mikutano yao. Yani unaona mtu yupo busy na CCM inahizi anpoteza muda kumbe aisee wanapiga hela sana hapo ndio utajua chama kinaiba pesa nyingi sana serikalini.

Hapo haujagusa polisi au wakuu wa majeahi nk anajifanya anafanya kazi kwa kifuata kiapo Ila unashangaa akistaafu anapewa akagombee ubunge kwa tiketi ya CCM unabaki kujiuliza huyu kwani ni lini alikuwa mwanasiasa au ndio unajiuliza hivi kweli alikuwa anapenda haki kwa vyama vingine?

Mambo ni mengi sana Ila kuitoa CCM is next to impossible sababu Wana mizizi Hadi usalama wa taifa. Ndio maana huwa nikiangalia upinzani naona wanajua kabisa Ila nao wanatafuta kula yao tu however something is better than nothing.
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,417

Ukweli mgumu huu. Ndio maana nikiona watu ndani ya Tanzania walioshikilia principles zao bila kuyumba kama Heche, Msigwa, Lissu, Sugu na wengineo nabaki kushangaa.

Kuna wakati sikuamini kama watu wa aina hiyo wapo nchini. Sasa naamini wapo wengi; hawafahamiki tu.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,937
2,000
Neno bilionea kwa watu wa kaskazini kwao ni neno kirahisi tu kutamkwa.
Nilipoenda kusoma uko kila mtu anayekula vizuri wanamuita wa kishua. Aiseee nilikotokea kwetu ili uitwe wa kishua lazima muwe na mali ambazo nikizithaminisha naona sio under 150M. Kule ukiwa na utajiri wa 50M yani nyumba vyumba vinne na Harrier tako la nyani wanao wanaitwa wa kishua
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
25,559
2,000
ila sura za wenye mawe(mabilionaire)huwa zinazingua sana

kama masta dangote,kama humjui unawezasema ni nduza mmoja hivi.
 
Mnama

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
2,060
2,000
Kwanza ningeshangaa nisingewaona sisiyemu kusifia wamepoteza mwanachama, ila kwa hamza hawakwenda kusifia.

Ila kanisa letu mtu akiwa na hela ndio anakua mwenyekiti wa ujenzi. Ata kaka hasali nyumbani kwake paroko na mapadri hawakatiki
Umpe kapuku wenyekiti wa ujenzi akimbie na michango nooo way..........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom