Vigogo waangushwa uchaguzi CHADEMA

Matola,
Si ndio hao akina John Heche, Tundu Lissu, (hivi Mnyika ilikuwaje?), ndio wameandaliwa? Waandaliwe vipi tena!

Ni swala tu la kukabidhi hapo wananchama watakapoamua wenyewe kufanya hivyo. Kama wakati huu hawaoni sababu ya kufanya hivyo, huo ni uamzi wao wenyewe. Hata wakiamua kuchagua Mwenyekiti kati ya hao wawili wanaopambana na Mbowe, hilo pia ni juu yao kulifanya.

Kama Mbowe ameshinikiza aendelee, huku wanachama wake hawataki, hilo litakuwa tatizo kubwa.

Ninakubaliana nawe, Mashinji hafai kuendelea na nafasi aliyopo sasa. Kama ni mzuri katika utendaji wa kimya kimya, apewe nafasi kwenye sehemu hiyo. Ukatibu mkuu, huwezi kuwa umekaa kimya tuuu wakati wote, na wala huonekani popote kukishughulikia chama?
 
Molemo,
Ni kweli uchaguzi wa ndani Chadema unafuatiliwa kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kwa maoni yangu, Chadema haijawahi kujipanga toka ile 2010 nilipotoa ushauri huu.

Sasa kuelekea 2020, kiukweli Chadema sasa ndio inakwenda kuzama down the drain.

Sababu ni moja tuu, haisikilizi..
Naombeni msikilize Prof Safari hapa
Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.

Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.

Tulisema humu akina sisi,

Kuna kitu hapa kilisemwa na Masha

Kikapuuzwa, sasa leo kusema Prof. Safari, haya sasa manazi wa Chadema, njooni mumponde kama kawaida yenu.

Mkiambiwa
Mnakasirika.

Kwa 2020, I'm afraid now it's too little too late kujipanga.
P
 
Kwa mazingira ya sasa kumtoa Mbowe ni ushindi kwa chama cha maharamia
Mwambieni Mbowe amteuwe John Heche kuwa katibu mkuu, hilo zezeta lake Mashinji amtafututie kazi nyingine.

Pia muhimu zaidi Mbowe akubali kujifunza ni makosa makubwa amefanya kama mpaka leo alikuwa ajaandaa successor wake kwenye uenyekiti.

Ni lazima Mbowe aelewe hii ni awamu ya mwisho anakwenda kuthibishwa lakini aandae mrithi wake sasa, kwa sababu yeye Mbowe pia àliandaliwa iweje yeye hataki kuandaa mrithi wake? Hii ni miaka mitano ya mwisho hatutaki usultani.
 
Acha upumbavu.. kachukue akili uliko zizika.. huna hata haya.

Kila siku hapa unatetea mambo ya kijina na leo unajifanya eti unashauri chadema.

VIJANA mmefanya siasa ndio pa kuponea.. chukua jembe kalime.
Mkuu kwa Jiwe ulilompa atanawa kwanza uso
 
Naombeni msikilize Prof Safari hapa
Wewe huna hoja, sijawahi kukusikia ukimsema Jiwe, Msukuma mwenzako. Leo ametokea Prof wa ukweli, unalalama na kupaza sauti! mbona ya Prof Bashiru huyasemei, ya Kabudi huyasmei? Kwa vle ni CDM unapaza sauti! Wewe unataka awekwe mtu ambaye anaweza akahongwa na Jiwe CDM liwe tawi la CCM.
Nakubaliana na Safari, ila swali ni hili: Alitoa njia gani za kudai tume huru wakaipuuza? Ukiingia kudai tume huru yanakupata ya Lisu, alitoa njia gani ikapuuzwa?
 
Imekuwaje uchaguzi ujafanyika lakini Aikael ameshapanga safu ya uongozi?
 
Mwambieni Mbowe amteuwe John Heche kuwa katibu mkuu, hilo zezeta lake Mashinji amtafututie kazi nyingine.

Pia muhimu zaidi Mbowe akubali kujifunza ni makosa makubwa amefanya kama mpaka leo alikuwa ajaandaa successor wake kwenye uenyekiti.

Ni lazima Mbowe aelewe hii ni awamu ya mwisho anakwenda kuthibishwa lakini aandae mrithi wake sasa, kwa sababu yeye Mbowe pia àliandaliwa iweje yeye hataki kuandaa mrithi wake? Hii ni miaka mitano ya mwisho hatutaki usultani.
Mitano ya nwisho kwenye katiba au maoni yako?
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
 
Watu pia hua wakianza kuichambua PH.d ya mzee hapa kunatokeaga mitufuatano ya hatari sana.
 
Watu pia hua wakianza kuichambua PH.d ya mzee hapa kunatokeaga mitufuatano ya hatari sana.

Bora PhD, ina ma Thesis, utaratibu wake wa usomaji haufahamiki na wengi, kidato cha nne jamani? Darasa la kumi na mbili? Kusema tu angalau alisomea shule gani? PHd ya mzee angalau inajulikana alisomea wapi, msimamizi wake nani, title ya thesis yake ni ipi, yaliyobaki ni mambo ya kitaalamu. Sasa hata kutaja jina la shule tu tunaanza kuleta story za mara PHd ya huyu mara hili mara lile. Maneno marefu kuliko pengine hata jina la shule. Angalau jina la shule tu!
 
Back
Top Bottom