Amua sasa ndege iliyokamatwa kanada irudiYeye ndie asubiri maumivu mark my words CCM Chama tawala ndio tunaamua Nani awe Nani Chama chochote
Amua sasa ndege iliyokamatwa kanada irudiYeye ndie asubiri maumivu mark my words CCM Chama tawala ndio tunaamua Nani awe Nani Chama chochote
Faiza, Mbowe na Magufuli wote wagalatia!Kama jarife lavua na livue tulione.
Huyu mimi simuamini, mpeni chama kiwe tawi la Jiwe!Ubungo Saed Kubenea.
Ha Ha HaaaAmua sasa ndege iliyokamatwa kanada irudi
Uzuri wanachadema ni waungwana na waelewa sanaHuyu mimi simuamini, mpeni chama kiwe tawi la Jiwe!
Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.
Mwambieni Mbowe amteuwe John Heche kuwa katibu mkuu, hilo zezeta lake Mashinji amtafututie kazi nyingine.
Pia muhimu zaidi Mbowe akubali kujifunza ni makosa makubwa amefanya kama mpaka leo alikuwa ajaandaa successor wake kwenye uenyekiti.
Ni lazima Mbowe aelewe hii ni awamu ya mwisho anakwenda kuthibishwa lakini aandae mrithi wake sasa, kwa sababu yeye Mbowe pia àliandaliwa iweje yeye hataki kuandaa mrithi wake? Hii ni miaka mitano ya mwisho hatutaki usultani.
Mkuu kwa Jiwe ulilompa atanawa kwanza usoAcha upumbavu.. kachukue akili uliko zizika.. huna hata haya.
Kila siku hapa unatetea mambo ya kijina na leo unajifanya eti unashauri chadema.
VIJANA mmefanya siasa ndio pa kuponea.. chukua jembe kalime.
Chadema kwa sasa ni Imara kugundua hila za maaduiKwa mazingira ya sasa kumtoa mbowe ni ushindi kwa chama cha maharamia
Wewe huna hoja, sijawahi kukusikia ukimsema Jiwe, Msukuma mwenzako. Leo ametokea Prof wa ukweli, unalalama na kupaza sauti! mbona ya Prof Bashiru huyasemei, ya Kabudi huyasmei? Kwa vle ni CDM unapaza sauti! Wewe unataka awekwe mtu ambaye anaweza akahongwa na Jiwe CDM liwe tawi la CCM.Naombeni msikilize Prof Safari hapa
Kama jarife lavua na livue tulione.
Kwani ulivyofanyika CCM mzee baba hakua amepanga safu yake kuanzia Uvccm,Uwt,jumuiya ya wazazi?Imekuwaje uchaguzi ujafanyika lakini Aikael ameshapanga safu ya uongozi?
Mitano ya nwisho kwenye katiba au maoni yako?Mwambieni Mbowe amteuwe John Heche kuwa katibu mkuu, hilo zezeta lake Mashinji amtafututie kazi nyingine.
Pia muhimu zaidi Mbowe akubali kujifunza ni makosa makubwa amefanya kama mpaka leo alikuwa ajaandaa successor wake kwenye uenyekiti.
Ni lazima Mbowe aelewe hii ni awamu ya mwisho anakwenda kuthibishwa lakini aandae mrithi wake sasa, kwa sababu yeye Mbowe pia àliandaliwa iweje yeye hataki kuandaa mrithi wake? Hii ni miaka mitano ya mwisho hatutaki usultani.
Watu pia hua wakianza kuichambua PH.d ya mzee hapa kunatokeaga mitufuatano ya hatari sana.Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
Watu pia hua wakianza kuichambua PH.d ya mzee hapa kunatokeaga mitufuatano ya hatari sana.