Vigogo wa CCM wahusishwa na wizi wa madini ya bauxite na uharibifu wa mazingira Same | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo wa CCM wahusishwa na wizi wa madini ya bauxite na uharibifu wa mazingira Same

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simon james, Jun 21, 2012.

 1. s

  simon james JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wizi na uharibifu wa mazingira unaofanywa na wawekezaji wanao chimba bauxite kijiji cha Marieni kata ya Chome wilaya ya Same . Leo umeripotiwa na Gazeti la Raia mwema. Inaonyesha kuwa Mwekezaji anailipa Halmashauri ya wilaya ya Same T Sh 1,000/= kwa tani moja huku yeye akisafirisha tani kupeleka Kenya na kuuza tani moja kwa dola $2500/= Licha ya serikali kuwafukuza wachimbaji wadogo wa dhahabu ambao walikuwa wanafanya uchimbaji maeneo hayo ya msitu kwa upande mwingine serikali wamemlinda mwekezaji huyo ambaye inasemekana aliuziwa mkataba na mtu anayejulikana kama Abdullah Seleman ambaye ni diwani CCM Kata ya Makanya Ambaye aliuza mgodi mwaka 2009 kwa thamani ya sh Milion 500 kwa mwekezaji toka Arusha. Hata hivyo mwandishi wa habari hii alipo mpigia simu mwekezaji huyo alisema , nanukuu "swala hili hata waziri mkuu, Mizengo Pinda analifaham na usinipopezee muda wangu" source Raia mwema toleo Na 244 Juni 20- juni 26 pag 12, 13. Tujiulize kuwa ni kwanini uharibifu wa mazingira ufanywe wakati viongozi wa serikali chini ya Mkurugenzi wakiwa kimya? Na ni kwanini mwekezaji awe na kiburi cha kumtaja Pinda? Na kweli Mbunge wa Same magharibi (CCM)hajui wizi huu au na yeye ni mwana hisa? udongo wa bauxite ukipembuliwa tunapata Aluminium huoni wizi unaofanyika ni wizi wa madini? Ndio maana nimesema tunaibiwa minerals mchana kweupe kwa bei ya kihuni. Huku tukiharibiwa mazingira kumbuka Aluminium is a silvery ductile metalic element found in Bauxite, it is a soft, durable and lighten.
  TUNAIBIWA MADINI. Alafu wakisha pembua udongo unaobaki wanatengeneza Cement aina ya Bamburi ambayo kiwanda chake kipo kenya. Kwa hyo wanaua ndege wawili kwa jiwe moja. This is silly gvt in another silly season
  [​IMG]
  Mineral Photos - Aluminum & Bauxite | Mineral Information Institute

  Aluminum: Is the most abundant metal element in the Earth's crust. Bauxite is the main source of aluminum. Aluminum is used in the United States in packaging, ...
  www.mii.org/minerals/photoal.html
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. s

  simon james JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jipatie gazeti la raia mwema usome habari kamili
   
 4. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Yaani nchi hii. Kuna watu tunafikiri ni viongozi kumbe ni mashetani yamechukua miili na kuwa watu. Hivi binadamu wanaweza kuwafanyia binadamu wenzo haya? Nyinyiem angalieni sana, we will count to the three!
   
 5. s

  simon james JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Pinda alitutakia nini sisi wapare kama alijua wizi tunaofanyiwa alafu anamlinda huyo mwekezaji
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  its time to act!
   
 7. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  hata sishangai,bt muda umefika ss watz kuchukua hatua
   
 8. s

  simon james JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa Tz tumechoka wizi wa mchana kweupe
   
 9. s

  simon james JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima wahusika wawajibishwe hata kama ni Rais au PM
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kuna yule mwingine ambaye anachimba udongo maeneo ya Mbaga na kuusafirisha moja kwa moja Kenya. Hivi kama udomgo huo una madini, hayawezi kuchambuliwa Tanzania mpaka yasafirishwe moja kwa moja Kenya? Ni nani anayehakikisha na kudhibiti usafirishaji huu wa udongo wa Tanzania kwenda Kenya??
   
 11. s

  simon james JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizi wote huo Mbaga, mhezi na Chome unafanywa chini ya halmashauri ya wilaya ya same na Mbunge wao wa ccm Davd Matayo . Silly council
   
 12. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hivi ni kwa nini makamanda wa CDM hawaliibui hili jambo likajadiliwa hadharani na kupatikana majibu yake? Nimesikia hili jambo likiongelewa chinichini tu, lakini mpaka sasa sijasikia mtu yeyote akiulizwa au kuwajibishwa!
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Duh mama yake mtu yumo?
   
 14. s

  swrc JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Acha ukabila. Hili ni suala kitaifa na ishu ni kwanini mwekezaji analindwa na wakubwa (kama ni kweli)kujinufaisha mwenyewe.
   
 15. s

  simon james JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani viongozi wa CDM Mmepitia uzi huu. Hebu mkamtwange pinda swali Bungeni
   
 16. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  msheshimiwa simon james niimeipenda sana hoja yako tafadhali naomba namba email yako na no ya simu tuwasiliwane zaidi nitakupa mambo mengine nyeti
   
 17. s

  simon james JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok pa1
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  i like this!
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nchi haina uongozi. Waliopo ni watawala na wanajitapa eti ni watawala bora! Sijui nani anayetaka kutawaliwa?
   
 20. b

  bangusule Senior Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Simon,
  kwanini wananchi wasipinge kwa maandamano kama wakati wa MBIRU? wapare hatuna asili ya kukubali uonevu na kunyanyaswa kiasi hiki. pia suala hili lipelekwe kwa wabunge wa chadema kama mheshimiwa Zitto na John Mnyika waliwasilishe bungeni kwa mtindo wa hoja binafsi. uchimbaji wa bauxite unakausha mito ambayo ni chanzo cha maji kwa ajili ya KILIMO na matumizi mengine wilayani Same. haiwezekani tajiri mmoja ahatarishe maisha ya maelfu ya wananchi wa wilaya ya same. hali ikiendelea namna hii kuna hatari ya kutokea BALAA LA UKAME na NJAA na Upare ya Kusini haitakuwa kama tunavyoifahamu.
   
Loading...