Vigogo wa CCM ndio wanaovusha sukari nchi jirani ya Kenya

KIRING'OTI

Member
Oct 5, 2011
7
0
Salaam Sana Wadau wa Jf, Najikaribisha JF kwa uzi huu.

Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya Kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi halafu tujadili. Huyu Bwana Maghembe amemfungia Leseni Marenga Investment ambaye ndo alikuwa mkombozi wa watu kwa kuuza sukari kwa bei tunayoimudu kumbe ni ili jamaa zake wairushe ng'ambo.
 
Hilo mbona linajulikana hata pale Musoma mbona gari la huyu mbunge wa Rorya Lacairo Lameck lilikamatwa na wamelikalia kimya hata polisi wanalijua waandishi wa habari nao sijui wapo wapi wamekaria kuandika udaku tuuu
 
Salaam Sana Wadau wa Jf.
Najikaribisha JF kwa uzi huu.
Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi halafu tujadili. Huyu Bwana Maghembe amemfungia Leseni Marenga Investment ambaye ndo alikuwa mkombozi wa watu kwa kuuza sukari kwa bei tunayoimudu kumbe ni ili jamaa zake wairushe ng'ambo.

R. I. P mzee wetu, kwa taarifa tu huyu mzee mwenye marenga investment (mzee Jomo) alifariki jumamosi na kuzikwa jana nyumbani kwake Rombo Kilimannaro
 
Ifike wakati watanzania waelewe kuhusu taratibu za serikali ambazo haziwapi ahuweni raia wa nchi kuzikataa wazi na kufanya maamuzi magumu ya kuwanusuru,mfano mzuri msumbiji waligoma bei ya mkate ilipo panda lakini mafuta yanapanda kimya sukali kimya umeme ndo basi kiujumla maisha nchi hii ni magumu tatizo sera na kuwa na viongozi wasio wazalendo
 
Hilo mbona linajulikana hata pale Musoma mbona gari la huyu mbunge wa Rorya Lacairo Lameck lilikamatwa na wamelikalia kimya hata polisi wanalijua waandishi wa habari nao sijui wapo wapi wamekaria kuandika udaku tuuu

Umenifurahisha sana ulipo wataja waandishi wa habari.
Hawa waandishi wetu wa habari wana interest zao kwenye kundi la watu fulani la wanao jiweza lakini huku kwa maskini nadhani tupate nasi waandishi wetu maana kama gari la kiongozi limekamatwa na wanajua nawamepotezea basi hao ni waandishi njaaaa
 
Salaam Sana Wadau wa Jf.
Najikaribisha JF kwa uzi huu.
Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi halafu tujadili. Huyu Bwana Maghembe amemfungia Leseni Marenga Investment ambaye ndo alikuwa mkombozi wa watu kwa kuuza sukari kwa bei tunayoimudu kumbe ni ili jamaa zake wairushe ng'ambo.

Kikulacho kipo nguoni mwako,halafu wao ccm Kama Serikali ndio wa kwanza kuliagiza jeshi liwakamate wasafirishaji!!.
 
Wale viongozi wajuu wa serikali na chama ndio wezi wakubwa wa nchi hii leo tunaambiwa tume ya maadili ya viongozi iongezewe madaraka ya kuwashughulikia wasio viongozi ni unafiki mwingine washughulikie hao kwanza ndio u-extend kwa wenginr mk wele ni bonge la mtu wa vioja!
 
bwanaeeeee! hata pinda anajua, kusema jeshi liingile kati ni ili iwe rahisi kwao kusafirisha, mmh!
 
Magendo yote ya kuingiza na kuuza nje sukari hufanywa na mohammed entreprises-metl.hembu wana jf niambieni inakuaje huyo huyo metl ana kibali cha ku import sukari hapo hapo ndiye ana kibali cha kununua sukari ya tpc,kilombero,mtibwa?sii ata acha ku import halafu anunue sukari yote ya ndani afiche iadimike ili auze kwa bei juu?
 
mi nachoka jamani mana unashikwa na hasira, uchungu kama vile uzae lol, KIKWETEEEE lol
 
Uoga wetu na kujidai hatumaindi vitu vidogo ndo umetufikisha hapa tulipo, "kwani jero kitu gani?" Hatujui nini maana ya thamani. Hata ukisimama kutetea haki yako utasikia "Aaarhg! mwacheni njaa tu zinamsumbua huyo." tulipanda wenyewe wsas tunalalamika nini wakati wa Mavuno? acheni wafanye wanachotaka
 
Back
Top Bottom