Vigogo wa ccm ndio wanaovusha sukari nchi jirani ya kenya.

KIRING'OTI

Member
Oct 5, 2011
7
0
Salaam Sana Wadau wa Jf.
Najikaribisha JF kwa uzi huu.
Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi halafu tujadili. Huyu Bwana Maghembe amemfungia Leseni Marenga Investment ambaye ndo alikuwa mkombozi wa watu kwa kuuza sukari kwa bei tunayoimudu kumbe ni ili jamaa zake wairushe ng'ambo.
 
Attachments

  • sri.doc
    25.5 KB · Views: 147
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANG1.doc
    36.5 KB · Views: 127
Salaam Sana Wadau wa Jf.
Najikaribisha JF kwa uzi huu.
Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi halafu tujadili. Huyu Bwana Maghembe amemfungia Leseni Marenga Investment ambaye ndo alikuwa mkombozi wa watu kwa kuuza sukari kwa bei tunayoimudu kumbe ni ili jamaa zake wairushe ng'ambo.

Mbona documaa hazima mhuri hata signature?
 
zimepatikana wakati huyu afisa mtendaji akipiga maji sehemu fulani hivi. Unajua toloha hamna umeme sasa alipanda town kuja kuchapisha ndo akajisahau kwa mtindo huo. By the way nitaifuatilia ambayo tayari itakuwa imeasiniwa na mhuri kwani nina pr. nzuri na watu fulani pale masjala ya Halmashauri ikipatikana tu nitaitundika hapa
 
Back
Top Bottom