Vigogo CHADEMA wahusishwa na chama kipya - CHAUMMA

watu wanakimbia CHADEMA kwa UKANDA, UDINI, UCHAGGA. wanachama wake ni wakristo tu.
 
Gazeti la usalama. Haliuzi, halifi. Mafanikio yake ni kusomwa kwenye tv, redio na hapa jf.
 
watu wanakimbia CHADEMA kwa UKANDA, UDINI, UCHAGGA. wanachama wake ni wakristo tu.
 
Chama cha wachanga,chama cha kikatoliki
Siwezi kupoteza muda kushabikia habari za magazeti ya uamsho kwani haya magazeti dhaifu kama haya yote akili zao ni sawa na radio iman au gazeti al-nuur kwani yote kwa pamoja yanandikwa kwa kutumia ukilaza, kwani huwezi eti hii habri kuiamini kwani imekaa kiudaku zaidi pia inatumia jina la CDM kujiuza.
 
Upuuzi mtupu kabisa,hivi huyu msajili wa magazeti yuko makini kweli? aaah! lakn ndio walewale tu.
 
Chadema wana husika na kila kitu migomo vyama yaani hapa walipo wanabaki kupapasa tu,hawajui watendanlo !
 
siwezi kupoteza muda kushabikia habari za magazeti ya uamsho kwani haya magazeti dhaifu kama haya yote akili zao ni sawa na radio iman au gazeti al-nuur kwani yote kwa pamoja yanandikwa kwa kutumia ukilaza, kwani huwezi eti hii habri kuiamini kwani imekaa kiudaku zaidi pia inatumia jina la cdm kujiuza.

acha kutapika uvundo wako hapa wewe! Kwani ni lazima kila mtu akujue jinsi ulivyooza kwa udini? Umeambiwa hilo gazeti linamilikiwa na vyombo hivyo ulivyo vitaja hapo juu?
 
Hiki kiji-gazeti cha Hoja pamoja na kila cha Sauti Huru vinatia aibu kwa tasnia ya habari. Aibu aibu aibu ukisoma mambo wanayoandika humo ndani. Wengi wa waandishi wa hivi vijarida ni wanaume na ndio nashangaa wanaume gani wanandika umbeya kama huu?

Hoja wamezuka na CHAUMMA kuwa ni kimeanzishwa na CHADEMA! Nani asiyejua CCM ndio magwiji wa kuanzisha vyama vya msimu? Lakini pia hawa Hoja wamejikita sana kumshambulia Freeman Mbowe yeye binafsi kwa kusema kuwa 'DJ kuiongoza Tanzania kitakuwa kilele cha udhaifu'. Mbowe amekuwa kwenye siasa miaka 20 sasa imekuwaje leo ndio wanaona u-DJ wake? Hao ambao si ma-DJ wamefanya nini hii nchi?

Sauti Huru wao kazi yao ni moja - kuhubiri ukabila. Na waandishi wake ni wafanyakazi ofisi za CCM-Lumumba. Sijui CCM watajitoaje kwenye hii dhambi ya kugawa watanzania? Watapata wapi moral authority ya kusema wao ni chama cha watanzania wote na sio mafisadi? Wanataka watanzania wajikite kujadili ukabilia, udini ili wao CCM waendelee kuifasadi nchi?

well said FJM
 
Last edited by a moderator:
Well hawa wote ni wanachama hapa JF tusubiri wao watasema nini?...everything possible under the sun!

uhuhuhu uuu! haky nani wallah! hivi hadi leo tunaamini katika propaganda za namna hii!?
 
Yaani kati ya walio katika hizo picha kuna alieiwacha CDM kwenye mataa nini ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom