Vigogo CCM wanaowania urais wachota bilioni 10 wizara ya ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo CCM wanaowania urais wachota bilioni 10 wizara ya ujenzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Feb 4, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sendeka alijikita kwenye suala la posho na kuwataka wabunge wenzake wa CCM kuachana nayo kwani inawajengea taswira mbaya mbele ya jamii.

  Alipendekeza kuundwa tume kuchunguza tuhuma za ufisadi katika Wizara ya Ujenzi inayoongozwa na John Magufuli ambapo inadaiwa kuwa zaidi ya sh bilioni 10 zimechotwa kulipia kampuni hewa ya ujenzi.


  Sendeka alisema kuwa katika tuhuma hiyo inayohusisha vigogo wanaotaka kuwania urais, kati ya malipo ya mkandarasi kampuni ya CHICO-CRSG JV, sh bilioni 10 zimeongezwa kwa lengo la kuwanufaisha vigogo hao.


  Kuhusu sakata la mgomo wa madaktari, Sendeka alieleza kutoridhika kwake na jinsi serikali ilivyokuwa ikilishughulikia tatizo hilo.


  Hata hivyo Sendeka na baadhi ya wabunge walipendekeza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Naibu wake na Katibu Mkuu, wajiuzuru kwa kusababisha kutokea kwa mgomo huo.

  Tanzania Daima: Wabunge CCM wamlipua Kikwete


   
 2. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  endeleeni kukamaa na posho tu ili kupitia posho tuizike ccm.
   
 3. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  One day
   
 4. N

  Njele JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa nimefahamu jinsi Magufuli alivyo mmoja wa viongozi ovyo kabisa. Ushupavu na mabavu yote hayo kumbe ni kutetea uozo anaouficha. Anawatukana wakazi wa Kigamboni kwa kudai haki zao huku akiruhusu kuchotwa pesa kiasi hicho ndani ya wizara yake. Magufuli hana pa kuficha uso wake katika hili kwani tu lile la kuuza nyumba za serikali lilishamweka pabaya.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Chadema wametulia tuli kuangalia mafahali ndani ya CCM wanavyomaliza nyasi uwanjani. Huo ni ushindi w Chadema? Chadema hawana sababu ya kuleta longolongo ila acha wamalizane wenyewe kani ukimwamsha anayelala usije lala wewe.
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hivi sundi malomo yuko wapi?
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  One day one time things gonna change that's when the Hunter will become the hunted!!!!
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mbio za sakafuni huishia ukingoni na hakuna mapana yasiyo na mwisho.
   
 9. kadeti

  kadeti JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Makufuli anaonewa, muhulizeni katibu wa wizara kuusu hizo pesa, ivi amjui makatibu wizara ndiyo wenye say wizarani mawaziri are there likd symbolz, km mnataka jua muulizeni ngeleja.
   
 10. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  acha kuwa kasuku wa magufuli, anaonewa na nani? Kama 10bn zinawezwa kuchotwa na katibu wake mkuu yeye anafanya nini pale wizarani? Au anavizia hongo za 20,000 kwenye mizani wakati mchwa wanatafuna mabilioni ya kujenga barabara! Acheni kuwa wajinga kutetea wajinga
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Waziri ndiye mkuu wa wizara na katibu mkuu ni mtendaji. Katibu mkuu si mwenye mamlaka bali waziri ndiye aliyepewa dhima ya kuongoza wizara na Katibu Mkuu ni mtekelezaji wa maelekezo ya Mkuu wake ambaye ni waziri. Usitupotoshe hapa, yanayotokea ni kwa sababu ya serikali legelege na usaanii waliozoea kuufichaficha sasa hadharani kutokana na milipuko ya migongano ya viongozi wakuu serikalini kutoa matamko yanayopingana.


  Umeona wabune wa CCM dodoma walivyolipua bomu la Kikwete kuwaahidia posho na kisha kuwageuka Pinda na Makinda? Umeshamjua msanii wa longolongo ndani ya serikali na CCM?
   
 12. Kisaka80

  Kisaka80 Senior Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mhmh naona sasa kumekucha, siye ytu macho tu na masikio!!!
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenifanya nicheke kweli. Kumbe bado unamkumbuka huyu binti?
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu tusubiri tu huenda Dr. Magufuli akalitolea hili jambo tamko manake haiwezekani hayo yakatokea wizarani mwake naye anyamaze kimya.
   
 15. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,189
  Likes Received: 1,192
  Trophy Points: 280
  Mtoamada unamaanisha wizara ya huyu muuza nyumba zetu?
   
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Je kama mkulu anajua?
   
 17. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2017
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Mzee wa kukrem kilomita
   
 18. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,045
  Likes Received: 37,845
  Trophy Points: 280
  Poleni wenye imani na CCM!
   
Loading...