Vigogo CCM waliowahi kwenda upinzani wakarudi tena CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo CCM waliowahi kwenda upinzani wakarudi tena CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bobuk, Feb 22, 2012.

 1. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Wana JF,

  Kwa kuwa historia ya nchi yetu huwa haindikwi vizuri, mimi ninaomba nisaidiwe kufahamu vigogo wa CCM waliowahi kutimukia upinzani tangu tuanze mfumo wa vyama vingi 1992 na baada ya mambo kuwa magumu wakarudi tena CCM. Je hao vigogo walikuwa wanasimamia msingi ipi? au walikuwa ni Political opportunist. Haya ni mambo muhimu sana ya kutafakari, kwani kutokana hali inavyo kwenda ndani ya CCM huenda CDM 2015 ikapata mafuriko ya "WAKIMBIZI wa kisiasa" kutoka CCM
  1. Steven Wassira (NCCR)
  2. John John Guninita (CDM)
  3. Abass Mtemvu (NCCR)
  4. Adam Malima (NRA)
  5. Samuel Sitta (CCJ)
  6. Nape Nnawiye (CCJ)
  7. Dan Makanga (UDP)
  8. Dr. Amani Warid Kaborou (CDM)
  9. Dr. Masumbuko Lamwai (NCCR)
  10. Chief Abdallah Fundikira (UMD)
  11. Tambwe Hiza (CUF)
  12. Ibrahimu Msabah (CUF)
  13. Nalaila Jidawi (CUF)
  14. Dr. Ngunangwa (NCCR)
  15. Makongoro Nyerere (NCCR)
  16. Gulamhussein Kifu (NCCR)
  17. Daniel Nsanzugwako (NCCR)
  18. Sambweee Shitambala (CDM
  19. Deo Lwekama (TLP)
  20. Thomas Ngawaiya (TLP)
  21. Anna Senkoro (TPP Maendeleo)
  22. Prince Bagenda (NCCR)
  23. Dr. Festus Limbu (NCCR)
  24. Amani Nzugule Jidulamabambansi (UDP/RIP)
  25. Thomas Nyimbo
  26. Frank Magoba (CUF)
  27. Evodius mmanda
  28. Thadeus Mtembei
  29. Justine Salakana (CDM)
  30. Kilimbah
  31. Shaibu Ally Akwilombe (CUF)
  32. Njelu Mlagala Kasaka (CUF)
  33. Fatuma Maghimbi (CUF)
  34. Clement Mabina
   
 2. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Nape na Sita ni maneno tu.Kumbe Wasira alishawahi kuwa upinzani,sikujua aisee
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  makongoro nyerere(NCCR)
   
 4. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  15. Gulamhusein Kifu (NCCR Kigoma)
  16. Daniel Nsazugwako (NCCR)
   
 5. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Njaa mbaya..
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wassira alitolewa kamasi na Warioba Bunda akajisalimisha NCCR. Baadaye naye akataka kuanzisha chama chake akashindwa na njaa ilipozidi akafunga breki tena ccm.
   
 7. M

  Masuke JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  -Dr. Festus Limbu-NCCR
  -Kuna yule alikuwa TLP wa moshi baadaye akarudi CCM jina lake limenitoka.
  -Mwenyekiti wa sasa wa CCM wa mkoa wa Mwanza naye alikuwa UDP.
  -Prince Bagenda-NCCR
   
 8. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thomas Ngawaiya -TLP.Sambwee Shitambala-CDM.
   
 9. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  wote walitumwa kuvuruga Upinzani, wakatolewa Baruuu
   
 10. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Hamad Rashid (CUF)
  2. Sharif Hamad (CUF)
  3. Augustin Mrema ( TLP)
  4. Deo Lwekamwa (TLP)
  wengine bado wanaelekea kadiri njaa zinavyo wabana na wengine baada ya kumaliza kazi zao walizotumwa na ccm na usalama wa taifa.
   
 11. J

  Jadi JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  kweli njaa kali, kama Wasira anashangaza sana na kujidai kwake kuwasema wapinzani, ila ndo ilivyo mtoto yeyote wa ndugu akija kwenu anakuwa wa kwanza kuwasema ndugu zake wa damu hata kabla yenu nyie
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Dokta Slaa - gwanda
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kuna walookuwa CCM wako upinzani sasa:
  -Dr Slaa na X-mchumba wake Rose Kamili.
  -Edwin Mtei
  -John Magale Shibuda.
  -Seif Sharif Hamad na KAMAHURU yake.
  -Augustino Lyatonga Mrema.
  -Wapinzani wote waliozaliwa kabla ya mwaka 1975.
   
 14. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  KWeli siasa mchezo mchafu, wkt wassira anatoka ccm alisema hawez kurud tena huko na kuliko arudi ni bora amlale mama yake, ila alirud ccm sijui kama alimlala mama yake au la!
   
 15. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Ukinitajia wasira napata jazba, huyu alitumwa kummaliza mrema na akafanikiwa, sasa tunaye shibuda ila tushamsanukia
   
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 17. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yule ilikuwa njaa kali inamsumbua. Ogopa njaa unaweza tamka neno kesho ukalijutia. Mpaka leo awashukuru sana Rostam Aziz na Lowasa kwa kumshika mkona wakamfadhiri mpaka kawa mbunge na kwa mkono wao kawa waziri. Ndoo maana anatamba kuwa ukiondoa PM ni yeye boss wa mawaziri. Huyo ndo Wasiri, the world handsome politician.
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  -Kuna yule alikuwa TLP wa moshi baadaye akarudi CCM jina lake limenitoka.-Thomas Ngawaiya
  -Mwenyekiti wa sasa wa CCM wa mkoa wa Mwanza naye alikuwa UDP.- Clement Mabina
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  WC,
  Mkuu ndio kusema hujaelewa kinachozungumzwa hapa, ama umeamua tu kwa makusudi kuichakachgua sredi hii!?:lol:
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hata baba mwanaasha yupo CDM now, ushahidi ni mchakato wa katiba mpya.
   
Loading...