Vigogo 29 wanaosota mahabusu hadi sasa

hata kule chadema mda si mrefu kuna vigogo watajumuika nao.
 
Na bado wanakula pension mpaka leo kwa kazi zilizotukuka.

Rais Magufuli ajiulize mbona hawa watu hawakuwekwa hatiyani wakati wa uongizi wa Kikwete? Na kwa nini anasema tumuache Rais Kikwete apumuzike amelitumikia taifa hili vizuri sana kafanya kazi nzuri ipi? Wakati Rais Magufuli yuko busy kupanguwa aliyoyacha Rais Kikwete na kuusafisha uchafu aliouacha Kikwete? Ama maneno haya hayatoki moyoni mwake ? Tunauliza je Kikwete ana haki ya kuendelea kupata pensheni kwa kutumia kodi za Watanzania, Wakati upotevu wa Mali asili na fedha nyingi za Watanzania zimepotea wakati wa uongozi wake?
 
Rais Magufuli ajiulize mbona hawa watu hawakuwekwa hatiyani wakati wa uongizi wa Kikwete? Na kwa nini anasema tumuache Rais Kikwete apumuzike amelitumikia taifa hili vizuri sana kafanya kazi nzuri ipi? Wakati Rais Magufuli yuko busy kupanguwa aliyoyacha Rais Kikwete na kuusafisha uchafu aliouacha Kikwete? Ama maneno haya hayatoki moyo ni mwaka? Tunauliza je Kikwete ana haki ya kuendelea kupata pensheni kutumia kodi za Watanzania, Wakati upotevu wa Mali asili na fedha nyingi za Watanzania zimepotea wakati wa uongozi wake?
Umeongea points mkuu.

Kikwete na mkapa wanakula pensheni huku taifa likiwa na hasara kubwa halafu asiguswe? Kama kweli Magu ana nia apeleke sheria bungeni viongozi kushtakiwa yoyote yule akiwa madarakani na nje ya madaraka aone! Naona hata yeye mwenyewe hatotoka katika mtego
 
Watanzania tunahitaji katiba mpya. Mpaka wakati Huu bado tunaongozwa kizamani. Ni hatari sana kumukabidhi Mtu mmoja maisha ya Watanzania zaidi ya milioni 50. Anachosema ndiyo sheria. Kazima` kuwe na balance, Rais kuwa na madaraka makubwa kama MUNGU hizo ni sheria za kikoloni zimepitwa na Wakati.
 
habari nyingine hata hazina vichwa wala miguu...Shose Sanare ni kigogo?
Kwani mahabusi ni mahali pa ajabu? mtu yoyote anaweza kuwekwa mahabusu muda wowote hata wewe mleta mada tena bila kosa lolote!
Hizi ni picha tu yaani ni usanii wasomewe mashtaka tujue ukweli!
Hii ni nguvu ya soda kutaka sifa na kuwadhalilisha wengine.
Eeeh Rumande ni kama hospital mda wowote waweza kwenda
 
Rais Magufuli ajiulize mbona hawa watu hawakuwekwa hatiyani wakati wa uongizi wa Kikwete? Na kwa nini anasema tumuache Rais Kikwete apumuzike amelitumikia taifa hili vizuri sana kafanya kazi nzuri ipi? Wakati Rais Magufuli yuko busy kupanguwa aliyoyacha Rais Kikwete na kuusafisha uchafu aliouacha Kikwete? Ama maneno haya hayatoki moyo ni mwaka? Tunauliza je Kikwete ana haki ya kuendelea kupata pensheni kutumia kodi za Watanzania, Wakati upotevu wa Mali asili na fedha nyingi za Watanzania zimepotea wakati wa uongozi wake?
System ni mbovu haswa, mtu mmoja anaamua anavyopenda.
 
Back
Top Bottom