vigezo vya kuupa mji kuwa jiji Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vigezo vya kuupa mji kuwa jiji Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingxvi, Aug 3, 2012.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huwa wanatumia vigezo gani maana nimefika mbeya mji hauna hata chembe moja ya kuwa jiji unazidiwa hata na wilaya ya kahama jamani
   
 2. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kwani kuna jiji tanzania basi kama ndo ivo ukilinganisha na majiji kama new york,tokyo n.k
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bora hata kwingine kuliko hapa
   
 4. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  acha madhereu weye, MBEYA haiwezi linganishwa na kahama. Mbeya ina uchumi mkubwa kuliko kahama==kama umekosa mji wa kulinganisha na Mbeya, sema. Unalinganisha na Kahama ambako kuna njaa toka asubuhi mpaka jioni... hili ni moja tu ninayo mengi sana tatizo muda wa kukukuambia
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbeya hapana kitu hapa mitaa hovyo.mazingira hovyo yani hata singida pana mvuto
   
 6. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  hivi unajua huo mji na miji mingine hapa BONGO ilianzaje au unalipuka tu? hivi wakikuuliza mji wa kulinganisha na MBEYA, singida nayo unaiweka kwenye orodha? mdau inaonesha hata SGD huijui, kwa taarifa tu MJI WA SGD, ndiyo umeanza kujengwa sasa niandikapo ujumbe huu, huwezi linganisha na ule ambao una umri wa miaka zaidi ya mia
   
 7. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Swali lako ni la msingi sana, ila wachangiaji tumeshindwa ku-concentrate kwenye msingi wa swali na kujadili mfano. Binafsi nilienda Tanga then nikaelekea Arusha, nilipolinganisha hii miji miwili nikaona Arusha umeendelea zaidi na mzunguko wa pesa ni mkubwa zaidi kuliko Tanga, lakini Tanga ni jiji wakti Arusha sio. Nikajiuliza swali hili hili, ingawa hadi sasa sijapata jibu. P'se GREAT THINKERS TUELIMISHENI.
   
 8. K

  KWA MSISI Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We niaje aisee!Arusha pia ni jiji jamaa angu!
   
 9. m

  mzee wa busara Senior Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  kaka umeshasema ndo kwanza umefika Mbeya,hivyo naamini unahitaji muda zaidi kuweza kuufam mji wa mbeya,take your time kuuzunguka utagundua ni kichekesho cha mwaka kuifananisha mby na singida or kahama.

  kuh vigezo vinavyotumika baadhi ni hivi:
  1.ukubwa wa mji-katika hili wanaangalia ni kwa jinsi gani mji umetanuka,mfano wa mbeya kuanzia mbalizi mpaka mwanjelwa au sokomatola then kuelekea uyole,nk.
  2.Idadi ya watu
  3.mzunguko wa pesa
  4.upatikanaji wa huduma muhimu kama mabenk,masoko makubwa,hospitals,mahotel makubwa,vyuo,shule
  5.n.k
  na mambo mengine mengi
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  The difference between towns and cities is differently understood in different parts of the world. Indeed, some languages other than English use a single word for both concepts. Iberian languages typically use a three-way designation (Catalan: "poble", "vila", "ciutat"; Galician: "aldea", "vila", "cidade"; Portuguese: "aldeia", "vila", "cidade"; Spanish: "pueblo", "villa", "ciudad"-respectively "village", "town", "city"); Italian: "villaggio", "paese" "città"-respectively "village", "village/town", "city/town"; , but other Romance languages don't (French: "village", "ville").[SUP][citation needed][/SUP]
  Even within the English-speaking world there is no one standard definition of a city: the term may be used either for a town possessing city status; for an urban locality exceeding an arbitrary population size; for a town dominating other towns with particular regional economic or administrative significance. In British English, city is reserved for very large settlements and smaller historic settlements with a Cathedral (e.g. Lichfield), while smaller settlements without a Cathedral are called towns, and smaller still are villages and hamlets.[SUP][citation needed][/SUP] In the US city is used for much smaller settlements.
  Although city can refer to an agglomeration including suburban and satellite areas, the term is not usually applied to a conurbation (cluster) of distinct urban places, nor for a wider metropolitan area including more than one city, each acting as a focus for parts of the area. And the word "town" (also "downtown") may mean the center of the city.

  source:Wikipedia, the free encyclopedia
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  From Wikipedia, the free encyclopedia
  Jump to: navigation, search
  For other uses, see City (disambiguation).
  [​IMG] [​IMG]
  Map of Piraeus, the port of Athens, showing the grid plan of the city.


  A city is a relatively large and permanent settlement.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] Although there is no agreement on how a city is distinguished from a town within general English language meanings, many cities have a particular administrative, legal, or historical status based on local law.
  For example, in the U.S. state of Massachusetts an article of incorporation approved by the local state legislature distinguishes a city government from a town. In the United Kingdom and parts of the Commonwealth of Nations, a city is traditionally a settlement with a royal charter.[SUP][1][/SUP] Historically, in Europe, a city was understood to be an urban settlement with a cathedral.
  Cities generally have complex systems for sanitation, utilities, land usage, housing, and transportation. The concentration of development greatly facilitates interaction between people and businesses, benefiting both parties in the process. A big city or metropolis usually has associated suburbs and exurbs. Such cities are usually associated with metropolitan areas and urban areas, creating numerous business commuters traveling to urban centers for employment. Once a city expands far enough to reach another city, this region can be deemed a conurbation or megalopolis.
   
 12. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu kweli wewe huijui mbeya daah kahama na mbeya!?
  kama upo mbeya tembea zaidi ya hapo ulipofikia!
   
 13. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Yawezekana vigezo hatuvijui sawasawa ndio maana tunaulizana na kushambuliana kwa mifano iliyotolewa maana hata wewe umetoa mfano. Arusha inakosa proper plan, imejengwa ovyo maeneo mengi, ukiacha city centre. the suburbs are not planned well na maeneo mengi ni machafu (not sure kwa kuwa sijatembelea maeneo yote). Pia si mji mkubwa kwa eneo maana upo katikati ya Arumeru. Tengeru ni Arumeru na Ngaramtoni ni Arumeru. kama wakiweza kupanua eneo la mji kujumuisha maeneo hayo na kufanyia kazi mpangilio na usafi , nadhani itastahili zaidi. Nakumbuka ilishaitwa jiji (na hadi sasa wengine wanajua hivyo) ila ikanyang'anywa tena hadhi hiyo baada ya muda fulani.....


  Mengine ya idadi ya watu, mzunguko wa fedha, vyuo, etc najua Arusha ni juu ya Tanga, ila mambo ya maji na umeme Tanga ni Heaven, comparatively.

  Mambo haya wanaweza kutujuza wanaohusika na michakato hiyo mana naamini hata humu jf wamo.
   
 14. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red bora ungeacha kuandika...
   
 15. fakenology

  fakenology JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Ukweli mi kwamba mbeya sio jiji.
  wamebambikwa jina hilo ili wenyeji wasihame uko kuja kwenye majiji kamili.
  Kiufupi wamezugwa.
  Halafu wenyeji wake cio wote ila wengi wao wanahitilafu kichwani cmaanish ni vichaa ila wanamatatizo kichwani kidogo, fuatilia kwa umakini utaligundua hilo.
  Naipongeza serikali kwa kuliona hilo maana mtaani kwetu wapo w3 ni shida kwelkwel je wangekua 10 c tungehama mtaa.
  Bila kusahau rangi zao, ni bora wakae hukohuko.
  Eti mby jj. Haina radio wal tv inayobrodcast country wide.
   
 16. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umeua.!
   
 17. M

  MAGUNJA JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 974
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 80
  A large settlement. How large is a large settlement? Nakumbuka hadithi ya kipofu na wenzake waliomgusa tembo na kila mmoja akaanza kumuelezea.
   
 18. m

  mzee wa busara Senior Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45

  Fakenology, Tokea ulivyougua kichaa ukatibiwa na kuruhusiwa kutoka kwenye wodi ya vichaa,naona umerudi JF kwa kasi kweli,ila nadhani bado hujapona vizuri hasa nikijaribu kipitia ulichoandika hapo juu nadhani kichaa kimekupanda tena,ngoja niwapigie simu police wakukamate wakuwahishe kwenye wadi ya vichaa usije ukaharibu zaidi.
   
 19. U

  Ubwaza Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  tonapozungumza kuhusu majiji huyo wa singida akae kimya tu, alijua kigezo cha jiji ni wingi wa guest kama ilivyo hapo singida?
   
 20. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,651
  Likes Received: 2,094
  Trophy Points: 280
  UNISOME KWA MAKINI HAPA:
  1.Population: Mbeya ni ya tatu baada ya mwanza na dsm.
  2. Huduma za afya: mbeya(rufaa) inahudumia mikoa ya iringa, rukwa, songea
  3. huduma za fedha: mbeya ni kati ya mikoa 5 yenye B.O.T tangu awamu ya pili.
  4. Transportation: mbeya ina aina zote za usafiri kama reli, barabara, maji kwa ziwa nyasa na rukwa, ndege n.K.
  5. Financial inst: mbeya ina zaid ya aina 15 za mabenk.
  6. Elimu: mbeya ni ya 2 kwa wingi wa shule za a-level. Na ya 3 kwa o-level.
  7. Biashara: mbeya inamiliki bourder kubwa kuliko zote tanzania.
  8. Mapato: T.R.A Mkoa wa mbeya imekuwa ikivuka malengo ya ukusanyaji kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
  9. Nyakyusa: ni kabila la nne kwa ukubwa baada ya sukuma, chaga, na haya.
  10. Urban area: mbya mjini ina makazi ya kudumu mengi ikifuatia kwa mwanza baada ya dsm.
  11. Chakula: mbeya is the greatest food producer in tanzania.
   
Loading...