Vigezo vya kupata mkopo bodi ya mkopo elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigezo vya kupata mkopo bodi ya mkopo elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chimile, Aug 31, 2012.

 1. Chimile

  Chimile Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Ndugu zangu Watanzania, moja ya kigezo kwa mujibu wa maelekezo ya bodi ya mikopo nikuwa BODI itatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita 2010-2012....
  Jaman vipi sisi watoto wa wakulima tuliomaliza miaka ya nyuma na tunahitaji kuendelea kwa sasa
   
 2. SAMORE TOURE

  SAMORE TOURE Senior Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Imeandkwa wap hyo?
   
Loading...