Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Jaman naomba msaada wakuu mimi nimesoma science nina D ya phy tu masomo mengine yote gradeC
Je naweza kupata nafasi DIT sponsored by government?
Nimemaliza form four 2021
Naomben msaada kweny hili
 
Natafuta ajira ya ualimu wa primary na pia ni mwalimu ambaye nina uwezo wa kufundisha masomo yote ya primary pia ni mtaalamu wa somo la computer (ict)

0653174431 kwa mawasiliano zaidi
 
Masaada naomba kuliza mimi sina cheti kizuri cha form four nahitaji kusoma business katika chuo cha kilimanjaro institute je nawaza kumaliza kijiungaa na digeree kwenye chuo chochote kikuu apa dar as salaam

Naombeni msaada wenu ndugu zangu na ushauri
 
Jaman naomba msaada wakuu mimi nimesoma science nina D ya phy tu masomo mengine yote gradeC
Je naweza kupata nafasi DIT sponsored by government?
Nimemaliza form four 2021
Naomben msaada kweny hili
Ulijaza fomu ya machaguo ya SHULE na VYUO ulivyo maliza mitihani ya kidato cha nne? Kama ulifanya uchaguzi wa TECHNICAL COLLEGE utapangwa kwa urahisi sana ila zaidi yapo sina uhakika ka utapata ufadhili wa serikali mbali ya SELECTION halisi. Asante
 
Labda ukasomee chuo Cha private lakini kwa ufaulu huo kupata chuo cha serikali Cha clinical officer ni ngumu
 
Ngoja na mimi nipitepite humu maana nasubiria kupangiwa chuo

Hivi haiwezekani kuapply kabla la tamisemi kutoa yao
 
Habari wakuu

Nimehitimu ualimu ngazi ya cheti 2020, je naweza kusomea nini ndani ya elimu kwa kutumia cheti cha ualimu,muda huu nasubiri ajira?
 
Habari wakuu

Nimehitimu ualimu ngazi ya cheti 2020, je naweza kusomea nini ndani ya elimu kwa kutumia cheti cha ualimu,muda huu nasubiri ajira?
Ajira tayari zimetoka, ukikosa kuajiriwa jiajiri mwenyewe ukishindwa nenda kasome diploma ya elimu, kisha unga na degree afu rudi mtaani kusubiri ajira tena.
 
Habari wakuu, tafadhali naomba mwenye namba za chuo cha KILIMANJARO COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE kilichopo pale moshi anipatie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom