Vigezo vya chuo vilivyo chini ya NACTE kwa mwenye cheti cha form 4 na form 6

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
804
1,318
Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
 
Utaomba kupitia cheti cha form4 diploma miaka3 kwa afya
Thanks, nakuelewa hivi: kuwa Diploma yoyote ni miaka 3 na lazima uwe umemaliza F4. na A level kozi zake huwa ni miaka 2, hivyo utachaguliwa kwa cheti cha F4 maana hakuna F6 diploma ya miaka 3 ya clinical medicine? Am I right?
 
Mbona unakazia kuwa pure science Form FOUR! Hizo mbwembwe ziliwahi kukusaidia?
NO, nilitaka kuondo shaka kuwa labda hana required subjects combination to meet admission criteria.
By the way ukiwa O level, kuna science1 na science2 and then Arts.

Science 1 (one) ni pure science ie wanasoma physics na chemistry, pure maths (additional math),

science 2( two) hawasomi physics and therefore not pure science and can not qualify to study clinical medicine maana hawanaphysics. (sijui siku hizi kama bado hiyo ipo

Mwisho Science 1 ilinisaidia kusoma medicine 1978 Muhas.... nadhani you were to be born if not your parents. Ninao wahangaikia ni wajukuu
 
Kwahiyo kumbe ziliwahi kukusaidia, lakini mbona umebaki nyuma sana.!

Kama ulisoma MD 1978 mbona umeshindwa jambo dogo tu la 'kudanilodi' NACTE guidebook yenye taarifa zote.!
 
Not necessarily, kuna vitu uanweza kuuliza bila kwenda huko...... najua guidebook ipo, voluminous...
 
Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
Cheti cha form four kwa ngazi ya cheti na awe na at least pass 4 yaani D 4 (but not in a religious subject), na form six inaqualify kwa diploma ni as follows "Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) Passes in non-religious Subjects including “D” Passes in Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences a Pass in Basic Mathematics and English Language is an added advantage".
 
Vigezo vya kuomba chuo under NACTE kozi ya Afya ni uwe umemaliza Form Four na umefaulu masomo haya kuanzia ufaulu wa alama D, (physics, Chemistry, Biology, Mathematics, na English) .

Ukiomba chuo ambacho kipo under Nacte Cheti cha Form six kinakua kama Additional requirements. Wenyewe wanahitaji cheti cha form 4

NB: Nacte kuna ushindani mkubwa sana , namaanisha kupata nafasi katika vyuo vya serikali. Ufaulu wa juu , utakusaidia katika ushindani wa kupata nafasi . Maana wanaoomba ni wengi sana na karibia wote wana vigezo vya kuchaguliwa hiyo kozi.

Kuna ishu umesema ya ukiwa umemaliza form 6 na umefaulu kama wewe kua ,je unaweza kusoma 2yrs diploma. Kwa upande wa kozi za afya jibu ni HAPANA , hasa kwa hiyo Clinical medicine uliyoitolea mfano.
ILA kwa kozi nyengine tofauti na afya inawezekana . Mfano Diploma in Science and Laboratory Technology utasoma miaka miwili tu.
Na hapo ndipo cheti chako cha form six kitakua first priority

Nafikiri jibu langu litakua limekupa mwanga kiasi . Au pa kuanzia.
 
asante sana. Nimepata maelezo mazuri. It means cheti cha form 4 ndicho wanatumia katika selection na si F6.
 
Mbona unakazia kuwa pure science Form FOUR! Hizo mbwembwe ziliwahi kukusaidia?
Sijapendas kauli zako. Nikikujibu ipasavyo nitafungiwa maana nitakujibu kwa lugha chafu kama uliyotumia au kuzidi. The best way forward is to get you blocked!
 
Kwahiyo kumbe ziliwahi kukusaidia, lakini mbona umebaki nyuma sana.!

Kama ulisoma MD 1978 mbona umeshindwa jambo dogo tu la 'kudanilodi' NACTE guidebook yenye taarifa zote.!
Sasa huo mwaka 1978, Kulikuwa na technolgia hiyo!?au unamchambua tuu mzee wa watu!
 
NO, nilitaka kuondo shaka kuwa labda hana required subjects combination to meet admission criteria.
By the way ukiwa O level, kuna science1 na science2 and then Arts.

Science 1 (one) ni pure science ie wanasoma physics na chemistry, pure maths (additional math),

science 2( two) hawasomi physics and therefore not pure science and can not qualify to study clinical medicine maana hawanaphysics. (sijui siku hizi kama bado hiyo ipo

Mwisho Science 1 ilinisaidia kusoma medicine 1978 Muhas.... nadhani you were to be born if not your parents. Ninao wahangaikia ni wajukuu
Huwezi kuwa Daktari wewe au ulipochaguliwa MUHAS 1978 hukufanikiwa kupita first year!!!! Afterall wakati huo ilikuwa ni UDSM na Muhimbili ilikuwa ni Faculty of Medicine siyo MUHAS
 
Sijapendas kauli zako. Nikikujibu ipasavyo nitafungiwa maana nitakujibu kwa lugha chafu kama uliyotumia au kuzidi. The best way forward is to get you blocked!

Acha kuteseka na vitu vidogo wewe, ulishajibu kule juu na ilikuwa inatosha…. pole sana.
 
Back
Top Bottom