Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,650
- 218,105
Hata kwa bakora hatuhitaji tena rais kutoka ccm .
.yupo aliyetayari kumlipa mtu amuandikie kitabu, halafu yeye anaki-kariri. Sema kwenye kujibu maswali ya wakufunzi na wana-vyuo itabidi atafute mbinu.
Hatuhitaji mgombea urasi ambae jk akibadili miwani au sauti naye anabadili ili wafanane, akipunguza nywele nae kaiga, hatuhitaji mgombea ambaye maneno anayoongea hayatoki rohoni, mgombea ambae ana jukumu la mahusianoya kimataifa, badala ya kuyaboresha anaomba talaka na kutaka uadui na majirani, je angekuwa rais jumuiya ya afrika mashariki ingekuwepo leo? Hizo gharama zilizopotea angezitoleaje maelezo, hapo tu ameshindwa kuhimili, akipewa pakubwa si ataomba talaka kila mahali
All in All Rais wetu wa Tano Mungu akipenda ni Mh.Ndugu Mpendwa,Mzalendo,Mchapakazi,Jasiri,Mweledi,Mvumilivu,Mtu wa Watu Comrade Edward Ngoyai Lowassa.
Membe ataongoza nchi kwa ndoto na unafki
mkiikuuza hii picha mtakubaliana nami kuwa wakati ukifika wananchi hatutaki kuhutubiwa, tunahitaji kuwauliza maswali wanaotaka tuwaajiri top post.
ili wasituhonge mikutano tutaiandaa sisi wenyewe tuwaweke kikaangoni. maswali hayapatikani vyuoni pekee, hata vijijini maswali yapo.
kwa hiyo wewe unataka nani awe rais?Kama Membe anaweza kuwa rais, basi Tanzania itabidi kuomba sana maana miaka 5 itakuwa kama miaka 50.
We don't have leadership vaccum! Katika kipindi chake kama waziri wa Mambo ya Nje tumeshuhudia kwa mara ya kwanza mkuu wa diplomasia kutangaza vita na majirani wa Malawi badala ya kuwa mwanadiplomasia. Hili linaonyesha jinsi anavyokurupuka hata kwa yasiyo mhusu.
Kama mtu aliyefanya kazi ya ushushushu (intelligence) kukurupuka ni kati ya vigezo muhimu vya kumuondoa kwenye wadhifa alionao hata nyingine.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao wote kasoro mmoja tu wanamuona mbabaishaji, mtaka sifa na asiyejibu anachoulizwa.
Katika hili, namwomba Mola atuepushe naye vinginevyo atatusababishia matatizo mengi kuliko kutatua yaaliyopo.
Membe ni mzuri kuliko Lowassa kwa mbali sana kama tunabisha tuifanye debate pale chuo kikuu kujadili mambo yote ya nchi uwekezaji wa madini, mafuta, ufisadi, uwezo wa kuongea na wawekezaji na ulinzi.
Hata kwa bakora hatuhitaji tena rais kutoka ccm .
Majungu hayo mkuuHatuhitaji mgombea urasi ambae jk akibadili miwani au sauti naye anabadili ili wafanane, akipunguza nywele nae kaiga, hatuhitaji mgombea ambaye maneno anayoongea hayatoki rohoni, mgombea ambae ana jukumu la mahusianoya kimataifa, badala ya kuyaboresha anaomba talaka na kutaka uadui na majirani, je angekuwa rais jumuiya ya afrika mashariki ingekuwepo leo? Hizo gharama zilizopotea angezitoleaje maelezo, hapo tu ameshindwa kuhimili, akipewa pakubwa si ataomba talaka kila mahali
Wanastahili urais wa AKUDO IMPACTsi membe wala zitto anayafaa kuwa rais ..labda rais wa bendi