Vigezo vipi hutumika ili kusoma degree ya biotechnology and laboratory au molecular biology

Nov 21, 2019
28
10
Natanguliza shukurani;
Mimi n mhitimu wa diploma in secondary Education 2018 katika masomo ya chemistry na biology; ad sasa sija ajiriwa ila nimepanga mwaka huu nikasome degree ila nahitaji msaada je? Ninaweza soma degree ya BIOTECHNOLOGY and LABORATORY Au MOLECULAR BIOLOGY? Nhitaji msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya yote amgalia hizo fani zinatolewa na chuo gani hapa Tanzania kisha ingia kwenye website yao directly ucheck, kwa vyovyote kwa hapa Tanzania nadhani SUA au UDSM itakuwa zinapatikana huko
 
Uwe unemaliza PCB/CBG hizo ndio nauhakika Zaid maana wengi ninaowafahamu wametokea huko ufaulu ni Kuanzia D mbili toka Advance!!!

Typed Using KIDOLE
 
Biotechnology and Lab' science (BLS) Inapatikana SUA Ipo College of Veterinary Medicine and Biomedical Science (CVMBS)

Mkuu usiende hiyo course now adays haina deal kabisa utaangaika nayo sana hadi ujute.

Before 2015/2016 (kama sijakosea) wahitimu wa BLS walikua wanafanya kazi hospital za binadamu as If wamesoma Medical lab' but serikali Ikaja kuwatoa kwenye list so wanatakiwa kufanya kazi kwenye lab' za wanyama tu. Inshort mahitaji ya BLS ni madogo sana au hakuna kabisa kwa sasa.
Kama una connection zako za kazi huna budi kwenda.

Nimekaa sana CVMBS pale SUA naijua hii course nje ndani, wanaosoma pale wenyewe wamekata nayo tamaa.

Kama unataka kuwa Lab' personel nenda kasome Medical Lab vyuo vyenye medicine but sio hiyo BLS.

Utanishukuru baadae mkuu Ila hii sio course yakusoma kwa sasa.

*Sijui chochote kuhusu Molecular Biology.
 
Nimesoma ila sijaielewa vizuri
SUA wameandika wanahitaji walio soma
Diploma in applied biology au chemistry Na nyngne zinazohusiana na diploma zaafya
Ila UDSM Kna diploma in biological sciences na nyngne znazo husiana na diploma za afya
Sijaona chuo kimeweka diploma in education Ila au iyo diploma in applied biology or chemistry na diploma in biological sciences znaingliana na diploma in education?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biotechnology and Lab' science (BLS) Inapatikana SUA Ipo College of Veterinary Medicine and Biomedical Science (CVMBS)

Mkuu usiende hiyo course now adays haina deal kabisa utaangaika nayo sana hadi ujute.

Before 2015/2016 (kama sijakosea) wahitimu wa BLS walikua wanafanya kazi hospital za binadamu as If wamesoma Medical lab' but serikali Ikaja kuwatoa kwenye list so wanatakiwa kufanya kazi kwenye lab' za wanyama tu. Inshort mahitaji ya BLS ni madogo sana au hakuna kabisa kwa sasa.
Kama una connection zako za kazi huna budi kwenda.

Nimekaa sana CVMBS pale SUA naijua hii course nje ndani, wanaosoma pale wenyewe wamekata nayo tamaa.

Kama unataka kuwa Lab' personel nenda kasome Medical Lab vyuo vyenye medicine but sio hiyo BLS.

Utanishukuru baadae mkuu Ila hii sio course yakusoma kwa sasa.

*Sijui chochote kuhusu Molecular Biology.
Asante na ninashukuru kwa ushauri wako;
Je course zp inaweza nifaa kutoka na diploma yang nilisoma ya secondary education katika masomo ya chemistry na biology ndg?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom