MANAMBA Senior Member Jan 16, 2011 169 16 Oct 23, 2011 #1 Nakumbuka hayati baba wa taifa mwalimu Nyerere aliwahi kueleza kuwa ili tuendelee tunahitaji mambo manne: 1. Ardhi 2. Watu 3. Siasa safi 4. Uongozi bora Swali, kwanini hatuendelei? what's missing?
Nakumbuka hayati baba wa taifa mwalimu Nyerere aliwahi kueleza kuwa ili tuendelee tunahitaji mambo manne: 1. Ardhi 2. Watu 3. Siasa safi 4. Uongozi bora Swali, kwanini hatuendelei? what's missing?