Vigezo vinavyotumika kuteua ukuu wa mkoa au Wilaya: Je kuna Udini?

WanaJF naomba mnisadie ni vigezo gani vinatumika katika uteuzi huu

Unauliza vigezo na wakati ushaweka assumption kuwa ni udini? Tayari hiyo inaonyesha where you want to lead this discussion to na wala sidhani una nia ya kweli ya kufahamu. You just want people to support what you already think.
 
Unauliza vigezo na wakati ushaweka assumption kuwa ni udini? Tayari hiyo inaonyesha where you want to lead this discussion to na wala sidhani una nia ya kweli ya kufahamu. You just want people to support what you already think.

Udini might be one of them, sijakulimit Mwanafalsafa1 you can give more or you can oppose my assumption
 
kwa kuwa uumeshasema ni udini, make research, kw akuchunguza wateule wa udc na urc na utoe takwimu za dini zao and utendaji wao


Thanks Jamani WanaJF mwenye Takwimu za dini zao hawa udc na urc, unisadie
 
Thanks Jamani WanaJF mwenye Takwimu za dini zao hawa udc na urc, unisadie

Ma-RC wako 21 siwajui wote....wengine wataendeleza...sasa sijui kama majina ndio dini...kazi kwako
DAR-William Likuvi
COAST-Hajatt Mrisho
MORO-Saeed Kalembo
DODOMA-James Msekela
TANGA-
LINDI-Aboubakar Meck Sadick
MTWARA-
RUVUMA-
IRINGA-
MBEYA-John Mwakipesile
SUMBAWANGA-Daniel ole Njoolay
KIGOMA-Col Simbakalia
TABORA-Ahmed Mwinyimsa
SHINYANGA-
MWANZA-Abbas Kandoro
KAGERA-
MARA-Col Enos Mfuru
SINGIDA-
MANYARA-Henry Shekifu
ARUSHA-Isidore Shirima
K'MANJARO-Ms Monica Mbega MP
 
Sifa kuu ya kuteuliwa katika nyadhifa yoyote ile hapa Tanzania ni lazima uwe
1. MwanaCCM
2. Mwenzetu
3. Uwe tayari kuwapigania na kuwalinda waliokuteua
sifa zingine za ziada ambazo si za lazima sana
ni uwe mtanzania na ujue kusoma na kuandiaka
 
Ma-RC wako 21 siwajui wote....wengine wataendeleza...sasa sijui kama majina ndio dini...kazi kwako
DAR-William Likuvi
COAST-Hajatt Mrisho
MORO-Saeed Kalembo
DODOMA-James Msekela
TANGA-
LINDI-Aboubakar Meck Sadick
MTWARA-
RUVUMA-
IRINGA-
MBEYA-John Mwakipesile
SUMBAWANGA-Daniel ole Njoolay
KIGOMA-Col Simbakalia
TABORA-Ahmed Mwinyimsa
SHINYANGA-
MWANZA-Abbas Kandoro
KAGERA-
MARA-Col Enos Mfuru
SINGIDA-
MANYARA-Henry Shekifu
ARUSHA-Isidore Shirima
K'MANJARO-Ms Monica Mbega MP

See 5 out of 14 ARE MOSLEMS(36%)
and 9 out of 14 ARE CHRISTIANS(64%)
Based on names of course.....but then what...sio watanzania au...
 
Utafiti huo utakuwa makini kama utawahusisha wale walioteuliwa awamu hii tu na sio kuwachanganya na wale Jakaya aliowakuta wakiwa masalia ya Mkapa kama wakina Kalembo na Yamungu!! My cursory observation ni kuwa Jakaya anapata pressure kwa waumini wenzie kuwa priority awape hao wenye imani kama yake!! Angalia uteuzi wake wa majaji wa Mahakama kuu utadhihilisha hilo.
 
WanaJF naomba mnisadie ni vigezo gani vinatumika katika uteuzi huu
Pamoja na utetezi mzuri utakao utoa. Nadhani si vema kupendekeza 'bias' unapouliza swali kama hili. Unawafanya wachangiaji makini wasikupe maoni yao. Kama ungetaka kujua vigezo, kikiwemo cha udini, ungeuliza tu vigezo. Kisha wadau wakakupatia wanavyovifahamu. Ukikuta kama cha udini hakipo, hiyo pia ni taarifa pia. Ukikikuta kipo, basi furahia assumption yako. Huenda pia ungeuliza hivi 'Ni nini nafasi ya dini katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na wilaya?'. Hapa tungekuelewa kwamba unahusisha dini moja kwa moja.. Kwahiyo wadau wangechangia na kuchambua hoja kulingana na ulizo hilo.
 
Kuwa tayari kuwalinda na kuwapigania maana yake uwe tayari kuficha UFISADI wao!! Uzalendo lazima uwe mbele!
 
Back
Top Bottom