Vigezo vilivyotumika kumpa nishani speaker wa sasa!

Naona makinda kapewa Nishani kwa sababu ni spika mwenye uwezo mdogo kuimudi mikimiki ya Bunge hadi sasa. Ni spika aliyefanya vibaya hadi sasa, na hata sasa hajui kama ni spika, kwa sababu kwanza alipewa kama zawadi, pili uwezo wake wa kuliongoza Bunge ni mdogo kuliko alivyodhaniwa. Hivyo kwa mtazamo wa JK alistahili zawadi pia.
 
Katika hili JK ameboronga tena. Ndiyo maana sherehe hizo za kupeana nishani hasikufanyikia kule kwenye uwanja wa uhuru. RIP ccm!!!
 
Kuna mambo mengine yanavyofanyika unaweza kupata BP bure kwa kuyatafakari uhalali wake..

Ingelikuwa ni busara kwa kusema kigezo kilichotumika kuwatunuku wale walipoewa nishani, pia si vibaya ikasemwa kwa uwazi taratibu zilizotumika kuwapata. Mbona NOBEL na tuzo zingine hata za kikanjanja wanatoa vigezo na taratibu zilizotumika?

Ninatafakari sipati jibu...
 
Hii ndio Tanzania yetu, na nadhani sasa hivi mnaweza kuelewa kwa nini tunahitaji katiba mpya..Hawa watu wamechaguliwa kwa kufuata vigezo gani? those who are royal to the King?.. maana inaonyesha wazi kama vile tuna Constitutional Monarchy, ukitazama kwa makini ndani ya utawala wetu kuna makundi matatu ya wawakilishi.. La kwanza wapo watu ambao ni Nobles (The Untouchables - Magambas).. 2. Elected Monarchy's representantives (CCM - Vichwa nazi) wawakilishi wa chama kwa watu, na kundi la 3, la mwisho ndio la People's representatives ambao tulowachagua sisi kinyume cha matakwa ya chama..

Wananchi wenyewe we don't take part in decision making process ya jambo lolote, isipokuwa entitled to free speech, yet show approval or dissent through implimantation. Ndivyo wanavyotaka kuiandika katiba mpya maana huu ndio utaratibu wa utawala tulourithi kutoka kwa Mwalimu na Ujamaa..

Haya twambie ni kina nani hao wamepewa hizo nobel prizes toka utawala wa kifalme wa ukoo wa CCM maana sidhani kama kuna alochaguliwa ambaye sii mwanasiasa wala mjumbe wa NEC ya CCM...Na ndio maana watu wengi hapa wanashangaa kutowaona Sitta, Sapi na wengineo kwa sababu ushujaa kwetu sisi ni Uzalendo na utumishi bora unatafsirika tu kupitia mchango wako kwa faida ya chama..
 
jamani tuwe waelevu, makinda amepewa nishani hiyo sio kwa kuwa ni spika bora la hasha, ila kwa kuwa amesimamia vizuri kukingia kifua chama chake na kuwa tayari kukifia pale inapobidi, hata kama kukifia huko ni katika mambo ambayo hayana maslahi kwa nchi bali CCM pekee, kitu ambacho sitta hakukiangalia!! i.e kuna wakati sita hakuangalia chama juu ya mambo ya msingi kwa taifa na hapo ndio anapotofautiana na makinda na ndo mana tuzo imeota mbawa kwake
 
Si kweli basi kama hivyo EL angepata, lakini cha ajabu hata Adamu Sapi spika wa kwanza hakupata kapewa Makinda ambaye hajamaliza hata mwaka lini wamepima utendaji wake na matokeo (outcomes).

Hapa ndio hata mimi wamenimaliza, na kwa hali hii MACHIEF wote waliopigania UHURU walikuwa wana stahili hii kitu!
 
Kwangu mimi naona ni mchakato wa kushusha hadhi ya hizo nishani zenyewe ili zisiwe na maana yoyote, imekuwa kama vile vijikaratasi tulikuwa tunawaandikia wasichana enzi hizo shule za msingi na kuindika kwa juu "tafadhali soma peke yako".

Nishani jamani ni lazima ziwe na vigezo vya kweli vya heshima, hizo wanazopeana sasa nadhani ni pipi sio nishani tulizozoea kusikikia enzi hizo (kijijini kwenu wote wanaalikwa kwenye sherehe) nishani mchezo!
 
Msishangae wana JF,mwenye chongo siku zote ni mfalme wa vipofu,kama kuna kitu kama hicho basi Alikwina ni malkia miongoni mwa vipofu.kwani kila mtu aana ushahidi wa uabakaji wa demokrasia ndani ya Bunge.Kwa kigezo hicho naamini ALikwina anafaa.Kukosa kwa Bwn Six may be ni kutokana na unafiki wake wa kulizima suala la Richmond asubuhi na mapema hali akijua amecheza pranda kwenye mataa ya Ubungo.Hata kama mimi asingepata pamoja na kuwa Speaker wa viwango na standard lakini ni Speaker aliyeprove failure kutokana na kushindwa kusimamia mabo aliyoyaanziasha Shame on you
 
Yaani hili LiRaisi Letu kila kitu linachukulia poa tu. Yaani Jamaa ni JINGA mpaka basi!
 
Mh. Spika ametunukiwa nishani hiyo kwa kuilinda miswaada yenye kuilinda serikali; ni aibu kubwa wengine wametunukiwa nishani kimzahamzaha tu; je matendo yanalingana na Mwalimu au ilikuwa ni dhihaka ya kuwadhihaki watanzania?

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Vipi jamani nauliza Tanzania's true son Professor Shivji alipewa nishani for his outstanding contribution?
 
u know this govt has never been serious since it came into power..so haya uanauotokea ni sawa tu
 
ukiwa unataka kuujua undani wa serikali unaweza kujitoa mhanga bure na hiyohiyo mitz ikakushangaa..

RIP TZ

Kuanzia leo nimeacha kuchukulia jambo lolote la serikali serious naona nitatenda dhambi bure niishie jehanamu! Nitafanya ya kwangu yenye common factor na serikali serious na ku-ignore uwepo wa serikali hii ili niwe na amani moyoni mwangu!
 
Kila kitu ni siasa ....unamuachaje Adam Sappi Mkwawa...

Unawaacha vipi majemedari waliotetea nchi yetu wakati Nanga Jakaya...hakwenda vitani....mstari wa mbele...
Generali twalipo
Jenerali David musuguri
Jenerali Tumainieli akiwelu
Jenerali mwita kiaro
Maj generali mayunga
Maj generali walden
Maja general mwakalindile
Maja general chitete
Etc
Hawa na wingine ambao sijawataja...wwliomgoza section mbali mbali kuingia Uganda..na kuiteka yote....kuna ambao wwliomgoza vita ya ukombozi ...ie brig gen ngwilizi na Yule mzee brigedia alikuwa mkuu wa task force ya ukombozi....etc
 
Rais wa nchi huchaguliwa na wanchi wote paspo kujali itikadi

kwa nini NISHANI haikutolewa kwa viongozi wa vyama upinzani??

  • Pro Lipumba
  • Dr Slaa
  • Seif Hamad
 
Back
Top Bottom