!! Vigezo maalumu vya Kupata kazi katika kampuni za Kitanzania hata kama huna Expirience !!

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
929
147
Habari wana JF, Poleni wasaka Job

1. Hakikisha unachakachua kidogo jina lako lifanane na kiongozi flani serikalini eg: Lughembe = Maghembe

2.Hakikisha unajifanya mgeni hapa Tz, na unatokea ether South Africa, Nigeria au Kenya

3. Kama wewe ni mweupe kiasi vaa wigi then jifanye ni blak indian na uko experinced sema lugha ndio inakusumbua

4. Chakachua CV, na CV nzima hakikisha kuna Referees wa kichina.

believe you me try one of them... utakuja kurudisha feedback hapa JF.

:sad:
 
Back
Top Bottom