Vigezo gani vinatakiwa kuzingatiwa kutambua biashara sahihi?

mcameroon

New Member
Nov 30, 2024
1
0
Habarini za saizi wana jamii forum,

Ama kwa hakika leo naomba tujadili ni namna gani utaweza kugundua ama kutambua biashara sahihi.

Ni vigezo gani vinatakiwa kuzingatiwa kugundua biashara sahihi ya kufanya itakayokuletea faida na ni biashara zipi hazina tija. naombeni ushirikiano wenu tafadhali jamani.
 
Kuna vitu vingi sana hapo kati, muda ulio nao, mvuto wa faida. Uhitaji katika eneo unalotaka kufungua biashara na kadhalika.

Muhimu kwenye biashara ni kujua kwamba bidhaa au huduma utakazozitoa ni lazima eidha ziwe zinahitajika kila siku na watu haohao au kuna zile ambazo ukimjudumia mtu leo unaweza usimuone tena miaka miwili hii.

So ukiuza chakula mtu yuleyule atakula siku. Ukiuza nguo mtu mmoja hawez kununua jinzi kila siku. So itapita hata mwaka hujamuona hapo, so utahitji wtu wapya kila siku au utajitaji kufanya biashara na wafanyabiashara wenzako ili uwe nao kila siku.

That's a simple science to guide your idea
 
Back
Top Bottom