Vigezo gani hutumika kupanga mkoa wa maadhimisho ya 8/8 kitaifa?

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
880
618
Naomba kujua vigezo vinavyotumika kupanga eneo la kuadhimisha maonesho ya 8/8 kitaifa.
Mwaka jana ilikuwa mkoa wa simiyu naona na mwaka huu ni hukohuko.
Je haiwezekani kupeleka maadhimisho mikoa tofauti kila mwaka?
 
Maoni yangu
1.Utayari wa mkoa husika kuchangamkia fursa
2.Jiografia
3. Kuhusu kufanya eneo moja kwa kurudia,hoja ni kuwekeza miundombinu ya kudumu ikishirikishabwadau.
4.Ni lengo la serikali kutawanya kila mkoa
 
sawa sawa
 
Hata Mimi kila SIKU nawaza Hilo. Simiyu kila mwaka na hata miunfombinu mingi pia serikali inaweka bajeti kubwa mno kwa simiyu. Nadhani moja ya bajeti drainer wa awamu hii baada ya chattle, Mwanza na ntwara kwa pm.
Sisi singida tulibahatika sherehe za Uhuru mkuu akaziahirisha na hela yake akaamrisha iendeleze mikoa special kwake. Mwaka upiofuata ikawa iringa Kama sikosei, sijui singida tumemkosea Nini huyu mzee
 
Kuna miaka mingi mfululizo ilikua inafanyika Dodoma, napenda ya mwakani maonesho haya kitaifa yafanyike Dar Es Salaam
 
Hata Mimi kila SIKU nawaza Hilo. Simiyu kila mwaka na hata miunfombinu mingi pia serikali inaweka bajeti kubwa mno kwa simiyu. Nadhani moja ya bajeti drainer wa awamu hii baada ya chattle, Mwanza na ntwara kwa pm.
Sisi singida tulibahatika sherehe za Uhuru mkuu akaziahirisha na hela yake akaamrisha iendeleze mikoa special kwake. Mwaka upiofuata ikawa iringa Kama sikosei, sijui singida tumemkosea Nini huyu mzee
labda watasogeza hapo mwaka 2021 ngoja tuone
 
Back
Top Bottom