Vifurushi vya simu vyapanda kimya kimya

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,491
Mitandao ya simu nchini Tanzania hatimaye imepandisha vifurushi vyake kimyakimya bila kutoa taarifa kwa wateja wake.

Awali mitandao hiyo ilitangaza kubadilisha vifurushi lakini walighairi baada ya muda. Ila kwasasa wameamua kupandisha kimyakimya!

Vifurushi vilivyobadilika hasa ni vile vya intaneti ambapo mabando yamepunguzwa sana! Nafikiri Waziri mpya ameingia na kasi kubwa, yetu macho sasa👀
 
Kumekucha
Hivi Ukiwa Borders Kama Ngara Holili Mkinga Namanga Manyovu Huwezi Kutumia La Nchi Jirani Bundle
 
Wacha tusema na UN kuwa tunachangamoto za Chanjo
Hizo changamoto zingine zilizo za mwanachi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom