Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hiki kipo bombs Sana hasa kwa dakika yaan Dak 20 kwa cent 86 uwiiii ukiunga za buku 20 unamsahau Kama Kuna kuweka vocha maana dakika hazina limit ya mda.
Mkuu sio dakika hata sms na mb au gb hazina kuexpair yaani hawa ttcl na kifurushi hiki kipya cha BUFEE ni noma sana
 
Ni mwendo wa kushusha movies tu na games
IMG_20211201_063125.jpg
 
Ni kawaida kabisa kwa mteja deal au biashara inapochelewa kuwa na mashaka especially kwenye mitandao ya kijamii ambayo lengo ni privacy kama hii.Hili linapaswa kuwa sehemu ya changamoto katika biashara yako.Hupaswi kwenda chuo kikuu ili kujifunza hili.

Biashara yoyote ile lazima iwe na changamoto.Usizikimbie changamoto.Changamoto ndiyo biashara yenyewe.
Mkuu nipe mrejesho uliungwa? Ili namimi nipae nae angani?
 
Back
Top Bottom