Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Voda kila mteja ana menu yake na offer zake.
Wala hata usijichoshe kuchunguza sana.
Mm nina laini yao miaka 19 sasa na vifurushi ninavyoviona ni vichekesho.
Na hata ukijaribu kuongea na wahudumu wao watakuambia once mtu umekuwa assigned vifurushi ndio over. Hawabadili
Hicho ninkifurushi cha jimwage data kila mtu anacho mkuu
 
Naona halotel nao wamejaribu kubadilisha vifurushi lakiini naona bado wamebugi
 
Kaka TTCL bado hawajajipanga haeajui nini wanatak ukitak kujua mtiti mwinhin mtumie mtu mesej kwa ttcl utakuj kuniambia mesej moja ina fail kila saa utarudia had mara tano siwez kutumia ttcl hata wafany mb rahis kias gan siwez kuwa mzalendo uku najiumiza zantel ni jibu la matatiz yote nilichelew sana kutumia huu mtandao
TTCL mizinguo upande was T-pesa lakini Mambo mengi wapo vizuri
 
Kifurushi kipi hiki mkuu

Menu ni *148*66#
IMG_6349.jpg

IMG_6348.jpg

IMG_6347.jpg

IMG_6346.jpg
 
Vip Zantel haisumbui..maana Airtel sima hamu nao
Walikuwa nacho ila na wao wametoa mkuu wsngu nikushauri kitu kama unataka mtandao weny unafuu sio lazima bando za usiku zantel wako vizur hat halotel ila kam unatak mtandao utaotumia huku unanungunika kila siku bas tumi ttcl utakuja kuleta mrejesho hapa mimi natumia san netflix kucheki movies ila sina budi huwa najiunga zantel elfu kumi GB 10 kwa mwez mzima
 
Nimejaribu kusajili laini karibia zote yaani

Zantel, Halotel, Ttcl, Tigo, Airtel.


ZANTEL: wana bando nzuri ila speed ya internet maeneo yangu ni Empty kuanzia kazini hadi nyumbani ni Empty.

HALOTEL: wana bando nzuri ila Speed ya Internet eneo langu ni empty kazini hadi nyumbani ni empty

TTCL: Wana bando nzuri ila speed ya internet eneo langu ni empty

TIGO: Huu mtandao hamna kitu kabsa yaani bora hata Zantel.

AIRTEL: Nao ni empty eneo langu kuanzia kazini hadi nyumbani.

VODACOM: Internet yao iko Very fast na Speed ya hali ya juu kuanzia kazini hadi nyumbani kwangu, shida yao iko kwenye bando zimepanda kias kwangu nashindwa kumudu gharama za bando.


Mwisho: Nimeamua kubaki tu na Vodacom japo wananinyonya sana, sina jinsi 1Gb kwa elfu 3000/= kwa wiki.
 
Back
Top Bottom