korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,032
- 1,175
Hzo mimi nusu siku zimeishaVoda gb zao zinakatika kama upepo,gb 10 ndani siku 2 zimeisha!
Hzo mimi nusu siku zimeishaVoda gb zao zinakatika kama upepo,gb 10 ndani siku 2 zimeisha!
Mtandao Gani unatumia?Nimefuatilia sana huu uzi sioni hizo bundle
Mkuu halotel ile gb 50 maelekezo pleaseMtandao Gani unatumia?
Unataka kujiunga ama kuna kifurushi maalum unazungumzia?Mkuu halotel ile gb 50 maelekezo please
Umejiungaje mkuu?? Nina halotel na mimiNina Tanzanite hapa, GB50 kwa mwezi, dakika bila kikomo kwa mitandao yote kwa mwezi mzima pamoja na sms za kumwaga kwa Tsh, 20,000 tu.
Nataka jiunga ila hata tanza nite ningependa ifahamuUnataka kujiunga ama kuna kifurushi maalum unazungumzia?
Kwenye mega Bundle ama vifurushi vya 4g ama Internet kote unapata kifurushi kama hicho.
Ama unaongelea Tanzanite?
Yapatikanaje hiiNina Tanzanite hapa, GB50 kwa mwezi, dakika bila kikomo kwa mitandao yote kwa mwezi mzima pamoja na sms za kumwaga kwa Tsh, 20,000 tu.
Kuna line special zinaitwa tanzaniteUmejiungaje mkuu?? Nina halotel na mimi
Mtandao Gani unatumia?
Sina line ya TTCL kukutestia Hapa. Vifurushi vya bandika bandua kama vipo ni vizuri kwa GB nyingi ukiwa na matumizi makubwa.Natumia TTCL mkuu
Kuna line special zinauzwa Tsh 5,000, ukijiunga na kifurushi jumla inakuwa Tsh 25,000. Line zinaitwa Tanzanite.
Zantel kwa 1500 napata 1.5gb dkk 180.Tigo kumenoga asee bando lenye raha sana najiambafwai..
SAIZI YAKO View attachment 1546636
Hizo dakika 180 niza mitandao yote au ikoje yaaniZantel kwa 1500 napata 1.5gb dkk 180.
safi
Yani umeniokoa hyo ya tigo nimeweka imekubali nilikua nanunua 1 gb kwa elf2