Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kama una Hela mkuu huwa Dcunlocker model nyingi Wana crack Ila unakuta mifi moja wanakucharge zaidi ya 20,000. Ni model gani? Nikuangalizie.
M028AT
image.jpg
 
Mkuu Kuna mitandao speed inavyokuwa kubwa na wao wanakurushia content zenye quality kubwa na kusababisha mb kwenda nyingi, Sana Sana YouTube Wana tabia hii.

Tumia Go/mini/lite apps kupunguza ulaji wa mb Kama vile

-youtube go
-facebook lite
-gmail Go
-opera mini
-uc mini
-files go
-gallery go etc.
Mkuu hiyo Go min lite inakuaje eb nipe maujuz
 
Mkuu hiyo Go min lite inakuaje eb nipe maujuz
App ambazo hazitumii resource nyingi sana kama ram ya simu na internet.

Mfano kuna facebook na facebook lite, facebook ni ya kawaida yenyewe inakuwa na mambo mengi na ni nzito na pia inakula sana mb, wakati facebook lite yenyewe ni nyepesi na mb kidogo.

Youtube pia ni hivyo hivyo youtube ya kawaida inaplay video mpaka za 4k wakati youtube go max ni 480p na unaweza chagua quality hadi 144p ili mb ziende kidogo.
 
Mkuu now halotel kuna elf 10 pia Royal bando, mpango. Mzima, nk
Vyote hivyo ni vya kitoto

Halotel
Dak 200 halo-halo, 120 mitandao yote, internet ni bure mwezi mzima yan bila kikomo

Gharama: 16,000/=

Mwezi mzima unateleza tu na internet bureee
Screenshot_20191021-165915_Phone.jpeg
Screenshot_20191021-164508_Phone.jpeg
 
Back
Top Bottom