Gota8s
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 203
- 189
Kwa Upande wa Halotel ya kawaidaHalotel wametoa vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
Hicho Cha wiki kina value nzuri Sana.
Kukipata piga *148*66# Kisha chagua internet then vifurushi vya 4G.