Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Halotel wametoa vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.

Hicho Cha wiki kina value nzuri Sana.

Kukipata piga *148*66# Kisha chagua internet then vifurushi vya 4G.
Kwa Upande wa Halotel ya kawaida
Screenshot_20190910-191349.jpeg
 
Mwenye ramani ya coverage ya 4G ya halotel....
Au iko dar tu
Halotel wametoa vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.

Hicho Cha wiki kina value nzuri Sana.

Kukipata piga *148*66# Kisha chagua internet then vifurushi vya 4G.
 
Hii ndio hunipa kiburi asee, sema speed sio nzuri kihivyo. Inawezekana ni sababu ya eneo nililopo. Tigo hiyo.
IMG_20190921_133632_384.JPG
 
Dah wakuu kuirudisha au kuipata ofa ya tigo buku1 GB1wiki inakuaje?
Maana hii menu siioni tena wakati ilikuwepo ila nilipochange laini ya 4G tu ikawa majanga siipati tena
 
Back
Top Bottom