Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mitandao ya simu inamilikiwa na mabeberu. Haya mabadiliko ya gharama za vifurushi yalivyo makubwa ukiweka na hali mbaya ya uchumi. Miezi au miaka kadhaa mbeleni matumizi ya simu yatakuwa anasa.
Na kitu kibaya zaidi ni kuwa mtandao mmoja wa simu una menu zaidi ya 2 ambazo zina vifurushi vinavyobadilika kila mara na hawafanyi bahati mbaya.

Farewell voda and tigo.

AIRTEL && TTCL are my new home
 
Kwa maoni yangu Tigo na Voda ni wezi mno vifurushi havieleweki ila Ttcl network haileweki kama mvua za msimu ila vifurushi vina afadhali
 
Royal wajinga sana wale hafu kina affect hata ukiungia juu kifurushi kingine kinakua na speed ndogo vilevile
Sema mkuu ukijua kwa kupata content zake sio kifurushi kibaya, natumia na Netflix nacheki movie na series vizuri tu, YouTube, browse za Hapa na pale etc. Na line ya royal siungi kitu chochote kwa Sasa sababu hio ya kuambukizwa speed.
 
Halotel wametoa vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.

Hicho Cha wiki kina value nzuri Sana.

Kukipata piga *148*66# Kisha chagua internet then vifurushi vya 4G.
 
wanauza bei gani hizo laini?
hicho cha wiki kinanivutia
 
Halotel wametoa vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.

Hicho Cha wiki kina value nzuri Sana.

Kukipata piga *148*66# Kisha chagua internet then vifurushi vya 4G.
Ngoja nipaki voda kwa muda...4G yao ipo nchi nzima.
 
169 Reactions
Reply
Back
Top Bottom