Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,052
- 6,702
Halotel hiyo. Hii ni University ya zamani kwa Sasa kununua ni Kati ya 10,000-15,000 laini tu.
Ila ukiipata bata tu.
Ila ukiipata bata tu.
Unlimited internet, Game kubwa Kama FIFA 19 lenye GB Kama 40 huwa nalidownload usiku mmoja tu na Hicho kifurushi.Hawa Halotel nao sijui wanaanza kukwama wapi,kutuwekea dakika kwenye usiku pack ndiyo nini...Na hicho kifurushi cha buku sijui wanatoa Mb kiasi gani maana wamesema tu internet bure usije kuwa ukishafikisha gb1 unaambiwa Mb zako zimeisha
Ngoja Leo nijiunge kama NI kweli,maana kuna unlimited nyingine ukifikisha kiss Fulani wanaanza kusema kifurushi kimeisha...Naona wamerekebisha maana mwanzo si walikuwa wanatoa gb10 kwa bukujero asahiv ndo wabafanya hivyoUnlimited internet, Game kubwa Kama FIFA 19 lenye GB Kama 40 huwa nalidownload usiku mmoja tu na Hicho kifurushi.
Nimepita leo nimekuta foleni kubwa sana nimeona shida kusubiri na ilikuwa mida ila bado mnanidai feedback lazima niilete humu.
Hivyo ni vifurushi viwili Tofauti vyote vipo. Unlimited kinakaa kwenye ofa maalum na unachopimiwa GB vifurushi vya kawaida.Ngoja Leo nijiunge kama NI kweli,maana kuna unlimited nyingine ukifikisha kiss Fulani wanaanza kusema kifurushi kimeisha...Naona wamerekebisha maana mwanzo si walikuwa wanatoa gb10 kwa bukujero asahiv ndo wabafanya hivyo
Ninayo lain ya chuo, vipi speed yake lakini? Sijawahi kuchukua hii ya mwezHalotel hiyo. Hii ni University ya zamani kwa Sasa kununua ni Kati ya 10,000-15,000 laini tu.
Ila ukiipata bata tu.View attachment 1159704View attachment 1159705
Hicho kifurushi kwa sasa kinazingua balaa sijui ni kwangu mimi maana nimeunga ila sijatumia hata mb 1 net inakata hovyo mpaka muda umeisha ndio imekaa sawa washaanza kutuibia hela zetu.Unlimited internet, Game kubwa Kama FIFA 19 lenye GB Kama 40 huwa nalidownload usiku mmoja tu na Hicho kifurushi.
Hicho kifurushi kwa sasa kinazingua balaa sijui ni kwangu mimi maana nimeunga ila sijatumia hata mb 1 net inakata hovyo mpaka muda umeisha ndio imekaa sawa washaanza kutuibia hela zetu.
Voda naona wmezidi kukaza
1gb ya University nilikua nanunua kwa buku 2,leo hii nakuta mb 250 tu kwa buku 2 ile ile
Hicho kifurushi kwa sasa kinazingua balaa sijui ni kwangu mimi maana nimeunga ila sijatumia hata mb 1 net inakata hovyo mpaka muda umeisha ndio imekaa sawa washaanza kutuibia hela zetu.
Niliwahi kupata Hilo tatizo nilipoungia kifurushi Cha usiku juu ya kifurushi chengine, mfano una Royal bundle ukiunga Cha usiku nacho kinakuwa slow na kudisconect kila dakika.Hii issue imenikuta Mara 3,hadi nikahisi wanafanya makusudi
Ukiunga net haitembei kabisaa
Na sasa serikali haitaki tuwe na line 2 mtandao mmoja duhNiliwahi kupata Hilo tatizo nilipoungia kifurushi Cha usiku juu ya kifurushi chengine, mfano una Royal bundle ukiunga Cha usiku nacho kinakuwa slow na kudisconect kila dakika.
Sasa hivi naunga Cha usiku kwenye line yake separate, na vifurushi vya kawaida line nyengine.
Niliwahi kupata Hilo tatizo nilipoungia kifurushi Cha usiku juu ya kifurushi chengine, mfano una Royal bundle ukiunga Cha usiku nacho kinakuwa slow na kudisconect kila dakika.
Sasa hivi naunga Cha usiku kwenye line yake separate, na vifurushi vya kawaida line nyengine.
Watu wanazisajili kwa fingerprint bila wasiNa sasa serikali haitaki tuwe na line 2 mtandao mmoja duh
Najiungaga mara zote nikiwa na kifurushi Mara chache ndo hukatakata Ila mpaka sasa 7 hivi kinakuwa kimeshakaa sawa.Niliwahi kupata Hilo tatizo nilipoungia kifurushi Cha usiku juu ya kifurushi chengine, mfano una Royal bundle ukiunga Cha usiku nacho kinakuwa slow na kudisconect kila dakika.
Sasa hivi naunga Cha usiku kwenye line yake separate, na vifurushi vya kawaida line nyengine.
Wahuni sana hawa jamaa, mm nimeachana nao kwa sasa natumia airtel 1000 siku tatu na 1gb
Huwezi amini mkuu hii ni mara ya pili kunitokea ngoma imegoma hadi saa 12 asubuhi sijaambulia chochote dadeki zao hawa halotel.Najiungaga mara zote nikiwa na kifurushi Mara chache ndo hukatakata Ila mpaka sasa 7 hivi kinakuwa kimeshakaa sawa.
Au kwasababu laini nayotumia ni ya chuo ndio inasababisha majanga mwanzoni ilikua inapiga kazi freshNiliwahi kupata Hilo tatizo nilipoungia kifurushi Cha usiku juu ya kifurushi chengine, mfano una Royal bundle ukiunga Cha usiku nacho kinakuwa slow na kudisconect kila dakika.
Sasa hivi naunga Cha usiku kwenye line yake separate, na vifurushi vya kawaida line nyengine.
Dah!Hu
Huwezi amini mkuu hii ni mara ya pili kunitokea ngoma imegoma hadi saa 12 asubuhi sijaambulia chochote dadeki zao hawa halotel.
Jaribu kutounga kifurushi chochote, ukiwa unafunga Cha usiku uwe huna kifurushi.Au kwasababu laini nayotumia ni ya chuo ndio inasababisha majanga mwanzoni ilikua inapiga kazi fresh