Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Bado sjajua boss wangu kesho nataka nipite ofisini kwao nikapate hiyo Line pia niwaulize hiyo kitu.
Kila nikigoogle sipati Hata source moja inayosema wamezindua, type feedback mkuu isijekuwa ni janja janja ya watu wakasajili line tu.
 
Naona tigo wamerudisha. Labda ilikuwa tatizo la kiufundi.
Screenshot_20190720-120035_Phone.jpg
 
Sasa kuna mjinga nanaitwa tigo mpango ni balaaa hapa mjini. Kwa tsh 30 000 unapata gb kibao🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hawa Halotel nao sijui wanaanza kukwama wapi,kutuwekea dakika kwenye usiku pack ndiyo nini...Na hicho kifurushi cha buku sijui wanatoa Mb kiasi gani maana wamesema tu internet bure usije kuwa ukishafikisha gb1 unaambiwa Mb zako zimeisha
 

Attachments

  • IMG_20190722_175817.jpg
    IMG_20190722_175817.jpg
    21.9 KB · Views: 26
169 Reactions
Reply
Back
Top Bottom