Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Njoo halotel ni unlimited aisee kuna vifurushi vya Royal unajiunga kwa 10k mwzi mzima dakika za mitandao yote na halotel , sms kama zote na internet bila kipimo wala kikomo mwezi mzima. Unaingia kila mtandao wa kijamii bila kulimitiwa sjui youtube unawezxa hata shida youtu.be unastream mamuvi na udaku insta ni wewe tu acha kujitesa wote voda tushaikimbia mda. Voda kwangu ipo hewani kwa ajili ya kuokea wanaopiga tu sio niweke salio no narudia tena noooo.
Hivi hizo Royal bundle ni unlimited kweli?
 
JIBU NI HAPANA UO JAMAA ANAPOTOSHA AKITAKA KUONA KUA SIO UNLIMITE AJARIBU KUINGIA TORRENT KU DOWNLOAD MIZIGO
Na huu ndio wasiwasi wangu
Ni unlimited nakitumia muda mrefu (nipo mwezi wa tatu Sasa), sema speed ni around 60KBps ukimaliza GB zako, ambayo ni Kama 0.5mbps.

Kwa matumizi ya simu kuingia FB, YouTube, WhatsApp, kubrowse JF kinafaa.

Au Kama unatumia kudownload tafuta computer isio na kazi muda wote maana hizo movies na magame vinachukua masaa Kama sio siku kadhaa, kwa masaa 24 unaweza shusha movie Kama 3 za HD.

Au Kama una simu unastream tumia website zenye movie za low quality Kama 240p.
 
Alaa kumbe! Kimenikumbusha kile cha voda unlimited kipindi kile.. Series nzima una download wiki nzima!!
Kwa YouTube unaweza angalia video za hd?
 
Alaa kumbe! Kimenikumbusha kile cha voda unlimited kipindi kile.. Series nzima una download wiki nzima!!
Kwa YouTube unaweza angalia video za hd?
Hapana YouTube ni 240p, sema Kama una browser ya kisasa ukiangalia video za chanell maarufu utaona kwa 360p. Kwa HD utahitaji angalau 2Mbps.
 
Hivi unlimited huwa inamaanisha nini kwenye vifurushi?
Data au speed?

Huu upuuzi wa kuambiwa ulimited wiki kumbe wamekulimit speed
Movie ya 1Gb unadownload siku 3
 
Hivi unlimited huwa inamaanisha nini kwenye vifurushi?
Data au speed?

Huu upuuzi wa kuambiwa ulimited wiki kumbe wamekulimit speed
Movie ya 1Gb unadownload siku 3
Unlimited inakuwa ni data, there is no such thing as unlimited speed. Hata huko Duniani internet zenye kasi utaambiwa ni unlimited 1GBPS Ina maana utatumia unlimited data kwa GB moja kwa sekunde.
 
Unlimited inakuwa ni data, there is no such thing as unlimited speed. Hata huko Duniani internet zenye kasi utaambiwa ni unlimited 1GBPS Ina maana utatumia unlimited data kwa GB moja kwa sekunde.
Nakubaliana na wewe mkuu
Lakini huko duniani unlimited wanakupa unlimited data na speed haibanwi kama huku
Speed utapata kwa kiwango cha mwisho ambacho provider anakitoa
 
Nakubaliana na wewe mkuu
Lakini huko duniani unlimited wanakupa unlimited data na speed haibanwi kama huku
Speed utapata kwa kiwango cha mwisho ambacho provider anakitoa
Mkuu angalia na Bei pia ya halotel ni 10,000 tu kwa hio speed sio mbaya Tena unapata na dakika 200 Kama sijakosea.

Kama upo eneo katikati ya mji mpaka kinondoni cheki zuku, Go fiber, Raha etc wote Wana Broadband kuanzia 10mbps kwa 70,000. Speed nzuri tu unastream full HD.

Na Kama unajiweza kwa around 250K unapata 50mbps ambayo unastream Hadi Netflix Ultra HD na 4K YouTube.

Kama vyuma vimebana Tafuta Raha spot yoyote unapata Internet buree Tena speed ya kutosha.
 
Back
Top Bottom