Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
Naona hawana huo mpango aiseeWajinga inamaana hawataki na sisi watz tijidai kwa internet yenye kasi kubwa
Naona hawana huo mpango aiseeWajinga inamaana hawataki na sisi watz tijidai kwa internet yenye kasi kubwa
Hivi hizo Royal bundle ni unlimited kweli?Njoo halotel ni unlimited aisee kuna vifurushi vya Royal unajiunga kwa 10k mwzi mzima dakika za mitandao yote na halotel , sms kama zote na internet bila kipimo wala kikomo mwezi mzima. Unaingia kila mtandao wa kijamii bila kulimitiwa sjui youtube unawezxa hata shida youtu.be unastream mamuvi na udaku insta ni wewe tu acha kujitesa wote voda tushaikimbia mda. Voda kwangu ipo hewani kwa ajili ya kuokea wanaopiga tu sio niweke salio no narudia tena noooo.
JIBU NI HAPANA UO JAMAA ANAPOTOSHA AKITAKA KUONA KUA SIO UNLIMITE AJARIBU KUINGIA TORRENT KU DOWNLOAD MIZIGOHivi hizo Royal bundle ni unlimited kweli?
Na huu ndio wasiwasi wanguJIBU NI HAPANA UO JAMAA ANAPOTOSHA AKITAKA KUONA KUA SIO UNLIMITE AJARIBU KUINGIA TORRENT KU DOWNLOAD MIZIGO
ILA KWENYE HALOPESA WANA KIFURUSHI CHAO CHA MWEZI WANAKUPA GB15 KWA 10K TUNa huu ndio wasiwasi wangu
Hicho nakifahamu mkuu...nakitumia sanaILA KWENYE HALOPESA WANA KIFURUSHI CHAO CHA MWEZI WANAKUPA GB15 KWA 10K TU
JIBU NI HAPANA UO JAMAA ANAPOTOSHA AKITAKA KUONA KUA SIO UNLIMITE AJARIBU KUINGIA TORRENT KU DOWNLOAD MIZIGO
Ni unlimited nakitumia muda mrefu (nipo mwezi wa tatu Sasa), sema speed ni around 60KBps ukimaliza GB zako, ambayo ni Kama 0.5mbps.Na huu ndio wasiwasi wangu
Kilikuwa na tetesi ya kufilisika sijui Kama ilikuwa ni kweli, ila kwa muda mrefu Hata website yao ilikuwa haifanyi kazi.hivi smart wamepotelea wapi ............
Alaa kumbe! Kimenikumbusha kile cha voda unlimited kipindi kile.. Series nzima una download wiki nzima!!Ni unlimited nakitumia muda mrefu (nipo mwezi wa tatu Sasa), sema speed ni around 60KBps ukimaliza GB zako, ambayo ni Kama 0.5mbps.
Kwa matumizi ya simu kuingia FB, YouTube, WhatsApp, kubrowse JF kinafaa.
Au Kama unatumia kudownload tafuta computer isio na kazi muda wote maana hizo movies na magame vinachukua masaa Kama sio siku kadhaa, kwa masaa 24 unaweza shusha movie Kama 3 za HD.
Au Kama una simu unastream tumia website zenye movie za low quality Kama 240p.
Hapana YouTube ni 240p, sema Kama una browser ya kisasa ukiangalia video za chanell maarufu utaona kwa 360p. Kwa HD utahitaji angalau 2Mbps.Alaa kumbe! Kimenikumbusha kile cha voda unlimited kipindi kile.. Series nzima una download wiki nzima!!
Kwa YouTube unaweza angalia video za hd?
Poa poaHapana YouTube ni 240p, sema Kama una browser ya kisasa ukiangalia video za chanell maarufu utaona kwa 360p. Kwa HD utahitaji angalau 2Mbps.
AseeHahahaha niliwaulizaga wakasema hapa hawana 4g na spidi iko hivi wakiiweka eti vifurushi vitakuwa havikai
Unlimited inakuwa ni data, there is no such thing as unlimited speed. Hata huko Duniani internet zenye kasi utaambiwa ni unlimited 1GBPS Ina maana utatumia unlimited data kwa GB moja kwa sekunde.Hivi unlimited huwa inamaanisha nini kwenye vifurushi?
Data au speed?
Huu upuuzi wa kuambiwa ulimited wiki kumbe wamekulimit speed
Movie ya 1Gb unadownload siku 3
Nakubaliana na wewe mkuuUnlimited inakuwa ni data, there is no such thing as unlimited speed. Hata huko Duniani internet zenye kasi utaambiwa ni unlimited 1GBPS Ina maana utatumia unlimited data kwa GB moja kwa sekunde.
Mkuu angalia na Bei pia ya halotel ni 10,000 tu kwa hio speed sio mbaya Tena unapata na dakika 200 Kama sijakosea.Nakubaliana na wewe mkuu
Lakini huko duniani unlimited wanakupa unlimited data na speed haibanwi kama huku
Speed utapata kwa kiwango cha mwisho ambacho provider anakitoa
Halotel nao wamepunguza mb tayari ingia muda Huu uoneHawa nilishawakimbia mda tu,nipo zangu Halotel jero napata MB500
Natumia Dar Offer wananipa Mb500 kwa jero 24hrsHalotel nao wamepunguza mb tayari ingia muda Huu uone
Ni sehemu inaweza kuwa ni hotel au mgahawa hivi kunakuwa na internet ya bure, ukiwa ndani ya eneo unatumia.Hiyo Raha spot ni gani? Na unapataje free net chief?