Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hizi keyboard zipo nyingi kuna qwerty, Azerty etc
Angalia kwa windows 10 namna ya kubadili hapa
Sisi tunashare na Uingereza ama nchi nyengine za jumuia ya madola(Kenya, Uganda, etc)
Kama Ina windows nyengine niambie
Nimefanikiwa baada ya kuirestart PC.....
 
Halotel vifurushi vya chuo internet ndio hivyo sahivi. 🤔
Screenshot_20190710-133911_Phone.jpg
 
Ukitoa TTCL sidhani Kama Kuna kwenye vifurushi vizuri vya chuo. Wote wamepunguza.

Hivi kuna mtandao unaotoa true unlimited kama nchi nyingine ambapo unatumia utakavyo ukilipia kiasi flani. Kwasababu naona hii mitandao inatufanya watanzania wajinga, unakuta kuna vifurushi vya mwezi hadi vya 100000 lakini unakuta GB 40 . Wakati nchi nyingine watu wanalipa 50000 kwa mwezi anapata unlimited @ 6Mbps. Halafu eti wanatuambia Tanzania ni nchi yenye bei nafuu data.
 
Mkuu kwenye mobile data Hata huko duniani throttling ipo,

Ukitaka true unlimited ipo kwenye broadband ambayo hupatikana Sana mjini, around 70K unapata 10mbps kwa Tanzania.

TTCL Wana nduki ambayo hupatikana Hata maeneo yasiyo katikati ya jiji sema Bei na speed haviendani.
 
Ni unlimited?!
 
Njoo halotel ni unlimited aisee kuna vifurushi vya Royal unajiunga kwa 10k mwzi mzima dakika za mitandao yote na halotel , sms kama zote na internet bila kipimo wala kikomo mwezi mzima. Unaingia kila mtandao wa kijamii bila kulimitiwa sjui youtube unawezxa hata shida youtu.be unastream mamuvi na udaku insta ni wewe tu acha kujitesa wote voda tushaikimbia mda. Voda kwangu ipo hewani kwa ajili ya kuokea wanaopiga tu sio niweke salio no narudia tena noooo.

Back
Top Bottom