Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,711
- 45,079
How mkuu?
Kweli mkuu! Me ilkuepo kwenye laini yangu ya 4G hii ofa but now haipo tena, ila ipo nyingine ambayo 1500/= napata 2GB, na dk 165 week!Line yangu ni ya chuo ila siioni hii menu....ila kuna mtu line yake siyo ya chuo na nimeona ana hii kitu kwa menu yake...Kimsingi ni offer maalum ambayo siyo kila mteja anapewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
GB60 kwa miezi 6 mi nakuunga. Na utalipia baada ya kuona bando
Asante jerry..mana kuna jamaa wa spy app namuuliza aitume hyo app akaniambia ingia pm, nikaingia mwishon anasema tuwasiliane nikaona hawa ndo majambazi yenyew...nikanyut
hiki
Weka hapa utaratibu na vifurushi vyake vikojeUniversity offer kwa voda na Tigo......
Karibuni
*GHARAMA VODACOM ZA UNI* UPANDE WA VODACOM
Weka na vya tigo*GHARAMA VODACOM ZA UNI* UPANDE WA VODACOM
WELCOME VODACOM UNIVERSITY Menyu ya uni offer * 149*02/42#
*VIFURUSHI VYAKE*
A: PINDUA PINDUA PINDUA
1) Masaa 24
>1,500Tsh=1000Units
2) Siku saba
2000Tsh=1,500Units
B:UNITS
1*Siku
>1000Tsh=500MB + Dk 55 + 500 SMS
2*Siku 3
>1000Tsh=500Units +Whats, fb &SMS BURE
3* Wiki
>1000Tsh=300Units +Whats,Fb &SMS BURE
>2500Tsh=1GB +Bonus DK & SMS
>3000Tsh=2GB + Bonus DK & SMS
*MCHANGANUO WA UNITS*
uniti 1=dk1(Voda-Voda),uniti 50=dk1(mitandao yote) na unit1 1=1MB.
Kalibuni nyote
Tigo hiyooo