Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Pia halotel kifurushi chao cha unlimited cha 1000 wanachokupa mb200 cha siku kikiisha wanabana speed yao huwezi kudownload au kustream video YouTube vizuri ila kama una application ya startimes unastream channel za startimes bila tabu.
unawezaje kuongeza speed
 
unawezaje kuongeza speed
Hii ni baada ya mb walizotoa kuisha wakabana speed nikawa najaribu kustream video YouTube zikawa zinaganda ila star times peke yake nikaona haisumbui wameshindwa kuibania speed ndio nikawa naitumia hiyo mb zao 200 za kasi zikikata.
 
Sio kweli mimi natumia speed kubwa sana nashusha kitu cha gb 1 haizid nusu saa

troublemaker 2019. all right received.
Mh! Labda inategemeana na sehemu ulipo, ila huku ninapokaa mambo yako hivyo. Mchana speed iko poa ila ikigonga saa mbili tu kama unapakua movie basi utasubiri sana
 
Itakuwa mana me kwangu fresh muda wote
Mh! Labda inategemeana na sehemu ulipo, ila huku ninapokaa mambo yako hivyo. Mchana speed iko poa ila ikigonga saa mbili tu kama unapakua movie basi utasubiri sana

troublemaker 2019. all right received.
 
Back
Top Bottom