Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu hiki kifurushi cha Tigo nililipia nikaungwa 6GB nikaambiwa kila baada ya mwezi ntakuwa napokea 6GB , ila naona mwezi mpya na sijapata. hicho kifurushi Kinaitwa cha ramba dume .
Nimeunga vocha ya elfu 1 lakini sijapata kabisa .
 
Subri tarehe uliyoungiwa mkuu utapata GB zako
 
Back
Top Bottom