Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

numis

Senior Member
May 25, 2017
169
250
Mpaka sasa hivi bado kimya.Ila kusema kweli kwa upande wangu nina mashaka.Siyo mashaka ya kupigwa hela ila akili zangu zinaanza kuniambia kuwa huenda ni namba za simu zinakusanywa ili kukamatisha watu,am sorry kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.
doh si mchezo....ila kwa ukimya wake lazima ulete maswal mengi sana afu nimeona amesem yuko mwanza na mm niko mwanza mbn hali ya hewa shwar kabisa
 
msukuma fekero

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,236
2,000
Mpaka sasa hivi bado kimya.Ila kusema kweli kwa upande wangu nina mashaka.Siyo mashaka ya kupigwa hela ila akili zangu zinaanza kuniambia kuwa huenda ni namba za simu zinakusanywa kwa ajili ya kukamatisha watu,am sorry kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.
Mbona alishakujibu utulie kwanza mambo hayajakaa sawa makao makuu
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
15,530
2,000
Mpaka sasa hivi bado kimya.Ila kusema kweli kwa upande wangu nina mashaka.Siyo mashaka ya kupigwa hela ila akili zangu zinaanza kuniambia kuwa huenda ni namba za simu zinakusanywa kwa ajili ya kukamatisha watu,am sorry kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.
Sawa mkuu kama ndio unavyo wewe hakuna shida. Ni one man's opinion, watu wakubwa sana humu Jf na nimewaunga bila hiyana na waulize policy yangu ikoje tena wewe nikakwambia kabisa usifanye payment before huduma haijafanyika kucreate mutual trust leo hii unasema nakusanya namba za simu. Za kazi gani mimi? Anyways forget we ever discussed business bro.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
36,002

Ni kawaida kabisa kwa mteja deal au biashara inapochelewa kuwa na mashaka especially kwenye mitandao ya kijamii ambayo lengo ni privacy kama hii.Hili linapaswa kuwa sehemu ya changamoto katika biashara yako.Hupaswi kwenda chuo kikuu ili kujifunza hili.

Biashara yoyote ile lazima iwe na changamoto.Usizikimbie changamoto.Changamoto ndiyo biashara yenyewe.
 
Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
684
1,000
acha walizwe si wanajifanya wajuaj
Hakuna cha utaperi wala nn sisi wengine tunafaidi uwepo wa hawa watu na tunakuka matunda yao ndio maana unaambiwa ulipe baada ya kuungwa huduma mimi nimeungwa na vifurushi aina 2 cha gb na call na mtu ambae hata alikuwa hapigiwi debe kuwa ni mwaminifu ila aliniunga huduma zote 2 kwa wakat tofauti na nimelipa baada ya kuungwa na zote ziko poa sana free call tigo miaka miwili na gb72 kwa mwaka kila mwezi gb6 mtu huyu ni Mr kiuno wengine walio tajwa na Chief mkwa kuwa ni waaminifu ni donlucchese na Pengobovu kwa iyo we kama huamini acha hakuna wa kukulazimisha
 
Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
780

Hii free calls tigo uliungwa lini mkuu...? Na bei yake ikoje kiongozi...?
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
15,530
2,000
Hakuna cha utaperi wala nn sisi wengine tunafaidi uwepo wa hawa watu na tunakuka matunda yao ndio maana unaambiwa ulipe baada ya kuungwa huduma mimi nimeungwa na vifurushi aina 2 cha gb na call na mtu ambae hata alikuwa hapigiwi debe kuwa ni mwaminifu ila aliniunga huduma zote 2 kwa wakat tofauti na nimelipa baada ya kuungwa na zote ziko poa sana free call tigo miaka miwili na gb72 kwa mwaka kila mwezi gb6 mtu huyu ni Mr kiuno wengine walio tajwa na Chief mkwa kuwa ni waaminifu ni donlucchese na Pengobovu kwa iyo we kama huamini acha hakuna wa kukulazimisha
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
15,530
2,000
Kwasisi wa basi jekundu tunakula wapi?
Bado tunaipambania huku tupate free kabisa tusambaze upendo
Screenshot_2021-11-29-17-17-02-49_1149b56b894fd37d9a6fe46f85aae740.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom